simon msuya
Member
- Dec 24, 2013
- 5
- 0
Ucwashangae hao wanaofurahi kwa sabab ni kawaida yetu watz kuombeana njaa wanafurahi pale tu mtu anapokuwa chin akipanda juu fitna nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie mzima,........mie mbona siko Mbeya jamani nakomaa na Jiji la Mecky Sadick
wewe embu sema hawa jamaa umeanza kuwasikia lini, maana nikilinganisha miaka ambayo hizi njemba zilianza kusikika na huo uwiano wa kipindi hiko upo form 3 hahaha sidhani kama ni mtu mzima wa kiwango hiko
Hahahahaha hapa nadai change haki ya nani?Kama vile ulikuwa fundi mitambo ukishuudia picha.Clouds noma sana nakumbuka J2 iliyopita hata Dr. Isaack aliogopa kutaja neno kinega mpaka kwanza akaomba ruhusa kwa ruge kulitaja hilo neno maana mtu teja aliyekuwa anamuhoji aka yake ni kinega,na akasema huyu jamaa jina lake flan aka yake ntakuja kukutajia baadae ndio akampigia simu ruge jamaa anaitwa kinega vp tulitaje hewani? Ruge akamwambia haina noma we litaje.
Ukiwa na mawazo ya namna hii unaweza kushindwa kufanya kazi na kuendelea, ikumbukwe kwamba anapofukuzwa mtu kwenye organisation wakati mwingine ni fursa ya kupata kichwa kingine kizuri zaidi ya kile pia kwa upande wa waliofukuzwa ni fursa pia ya kupata kazi nyingine nzuri zaidi labda kama wasingefukuzwa wasingepata changamoto ya kutafuta sehemu nyingine. Wao waliikuta radio ina operate na walikuwa hawana uzoefu wa kutosha lakini mwisho wa siku wakajengeka kikazi mpaka majina yao yakakua hivyo kiasi kwamba mpaka wewe unaona kwamba bila wao haiwezekani.Redio inayo fanya vizur hapa tanzania kwa kubebwa na umahili wa watangazaji wakal wenye mvuto sasa uenda ikapitotea katika raman ya redio za bongo baada ya kupigwa chini watangazaji wake diva.b 12. Na adamu mchovu. Nikutokana na utov wa nidhamu
Wafungue kesi mahakamani kuomba swala lao lisijadiliwe mpaka hapo watakapoelezwa makosa yao na kujitetea!!!!
Bora walishajiongeza km B12 ana duka lake la nguo Born2Shine,,,hawez kosa dili na yule Mala.ya kwao kuna hela kwa mzee Malinzi