[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]diva Kawa km chizi kaona jalala jipyaMgangaa anajua kupiga dekii na kusugua kiharagee, msingi wake ni kiunooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diva anasema alifungwa akiliiii, woiiiiih
Kama wanaomvua chupi kuanzia,zito na Aly kiba alituambia seuse kupigwaYaani diva alikuwa anapigwa?na hajawahi sema?[emoji23][emoji23]diva huyuhuyu?
Hivi anatuonaje??
Halafu weye ndo usimjue lavalava.Sikamoo.Huyu mbibi sasa alikataa nn na kumshambulia Faiza, mbna aliyo semaga Faiza ndo yeye leo kayarudia?? Au anatafuta kiki mjiniii? Maana slays, divas na chawas bila kiki hawana maisha town, lol.
Nweiii nasubiri afunguke zaidi, na sie tuongezee neno, tusije ambiwa sie Wanga bureee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wanaomvua chupi kuanzia,zito na Aly kiba alituambia seuse kupigwa
[emoji23][emoji23] jamaniSipendi midomo ya huyo shekhe wake inanitia kinyaa [emoji57]
Kiaje na wenzio wanamsifia Maalim.Sipendi midomo ya huyo shekhe wake inanitia kinyaa 😏
mkuu umerudisha majeshi kwa mama jUyo Diva Kama mamaj wangu TU[emoji28]
MwantanjeKiaje na wenzio wanamsifia Maalim.
Nambie MwakampyaMwantanje
[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo yako??Nambie Mwakampya
Swaaafi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo yako??
Kwa hyo tunafanyaje? Na mimi nilipo kuna baridiSwaaafi kabisa.
Huku ileje baridi kali sana.
Nafikiri naweza Kuja hapo muda huu. Mwendokasi upo umepaki ndani.Kwa hyo tunafanyaje? Na mimi nilipo kuna baridi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naomba uje chap kwa haraka.Nafikiri naweza Kuja hapo muda huu. Mwendokasi upo umepaki ndani.
Unataka kunitoa sadaka nini ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naomba uje chap kwa haraka.
Umeanza. Basi mm ndio nitakuja kwakoUnataka kunitoa sadaka nini ?
Mana wanyakyusa kama wakinga.
Uje tu ila nisisingiziwe kama yule mchoma mkaa Wala kudakwa kama jamaa wa Leo.Umeanza. Basi mm ndio nitakuja kwako