Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Hahahaha huo ni uongoooo, huyo mganga anaonekana kabisa sio mpigaji, shangazi akazane kunywa dawa za chango mambo yatatimia kwa uwezo wa aliye juu.

Shangazi Wema nae alidai alifokewa na kibonge wake mimba ikatoka [emoji38][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunakoseajee? Juhudi, akili,na uwezo ndo vilivyo mfanya Vanessa awe pale leo, hukuwahi sikiliza intavoo jinsi alivyo kutana na Mr Akinoshoo?
My dear hivi unadhani wanaokosa hawana juhudi? what if vanessa angezaliwa uswekeni huku akakosa hata jinsi ya kutoka ?
Au unadhani wangapi wamepata na wakiwa na akili/juhudi/uwezo na wakaachwa tu out of blue?
 
Ni Nyoko kweli,,,Sasa hiyo ndio maana halisi ya kile kiapo "nitakuwa na wewe kwenye Shida na Raha""
 
Shida ya kizazi hiki Cha ngono ndoa wanazitaka na still kuishi Kama hawajaolewa wanataka.
Ndoa ni ibada nje ya hapo achana nayo
 
Mganga huwa hajibu, unamkumbuka Yule mmanga aliyeachwa kabla ya Diva? Alipaparika hadi Kwa Mange, mganga kimya🤣🤣🤣🤣
Mganga atakuwa na vitu adimu huyu tatizo hana hela🤣🤣🤣 mbona akiwaacha wanapagawaga🤣🤣🤣
cocastic mganga aundiwe tume huyu, ana nini?🤣🤣🤣
Tumesubiri video hadi tumechoka, magazeti tu yamekua mengi,

Mganga asimjibu hapo shoga angu atazidi kudata.
 
Kuna mademu wakuoa na wakula na kusepa,diva ni wale wakuchapa Kisha pita hivi na uombe asikutangaze.Stupid ass biaatch,no offence
 
Mganga huwa hajibu, unamkumbuka Yule mmanga aliyeachwa kabla ya Diva? Alipaparika hadi Kwa Mange, mganga kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mganga atakuwa na vitu adimu huyu tatizo hana hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona akiwaacha wanapagawaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cocastic mganga aundiwe tume huyu, ana nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mganga anaonesha kabisa shughuli anaijua, kitandani hana papara anapiga deki hadi mtaro, anajua kudekeza na kumfanya mwanamke afungue pochi ampe mihela, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Diva apige moyo konde ajipange kumsahau, asilete maneno mingi.
 
Back
Top Bottom