Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Huyu jamaa na mie nilimwomaga tu kitambo. Ni tapeli waa kutupwa hana lolote. Kazi yake kulamba lips tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣tujikumbushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha huo ni uongoooo, huyo mganga anaonekana kabisa sio mpigaji, shangazi akazane kunywa dawa za chango mambo yatatimia kwa uwezo wa aliye juu.
Shangazi Wema nae alidai alifokewa na kibonge wake mimba ikatoka [emoji38][emoji119]
My dear hivi unadhani wanaokosa hawana juhudi? what if vanessa angezaliwa uswekeni huku akakosa hata jinsi ya kutoka ?Tunakoseajee? Juhudi, akili,na uwezo ndo vilivyo mfanya Vanessa awe pale leo, hukuwahi sikiliza intavoo jinsi alivyo kutana na Mr Akinoshoo?
Mimi naona Vanessa kapata tu bahati. Hongera zake.My dear hivi unadhani wanaokosa hawana juhudi? what if vanessa angezaliwa uswekeni huku akakosa hata jinsi ya kutoka ?
Au unadhani wangapi wamepata na wakiwa na akili/juhudi/uwezo na wakaachwa tu out of blue?
Kile kinaishiaga mlango wa kanisa ndugu shida ni yako Raha yenu.Ni Nyoko kweli,,,Sasa hiyo ndio maana halisi ya kile kiapo "nitakuwa na wewe kwenye Shida na Raha""
Kaukimbia auAmetuaga anaondoka kwa mume ila hajasema anaenda wapi😂😂
Apambane na shughuli zake sasa,,anaeleza mabaya ya mwenzake tuu,,ya kwake je??wanawake wanapenda Sana kuonewa huruma!!Kile kinaishiaga mlango wa kanisa ndugu shida ni yako Raha yenu.
Tumesubiri video hadi tumechoka, magazeti tu yamekua mengi,
Mganga asimjibu hapo shoga angu atazidi kudata.
Mganga anaonesha kabisa shughuli anaijua, kitandani hana papara anapiga deki hadi mtaro, anajua kudekeza na kumfanya mwanamke afungue pochi ampe mihela, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mganga huwa hajibu, unamkumbuka Yule mmanga aliyeachwa kabla ya Diva? Alipaparika hadi Kwa Mange, mganga kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mganga atakuwa na vitu adimu huyu tatizo hana hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona akiwaacha wanapagawaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cocastic mganga aundiwe tume huyu, ana nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mange nyokooo sanaKila mtu kati ya Diva na mganga wafanye interview, atawapa Mil 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nakubaliana na ww..ila yy kunenepa uso hakujampendeza🤣🤣🤣Jamaniii,sio kila mtu anapendeza akikonda sura.