Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Kampongeza kwa kuvaa shela na kuondoa gundu[emoji1787]

Halafu kamwambia ampe exclusive interview amlipe 2/3.. na Mganga hivyo hivyo...

Ila kamalizia kuwa....Alimwambia tangu mwanzo hakuna ndoa pale "atamchezea" tu...Diva akamjibu..."Michezo ni Afya"[emoji38][emoji38][emoji38]
Ha haaa hatari sana
 
Afya ambayo Sasa inamliza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
 
Mwenyewe narudi nyumbani nalala ndani ya gari,asubuhi naamka naingia kuswaki ndani kuvaa nasepa.

ratiba ndio hiyo mwezi sasa, na hatupost insta, sema mi naenda anzisha post THREADS kule ndio pana kikisha haraka.

Hamna mahusiano yasio na changamoto, muhimu hamdundani ni kasoro tu za kutoelewana basi kausha komaa na biti lako.

ingekua diva unadundwa mingeu daily ningetia neno, ila bado baby face yani ni maneno tu ya hapa na pale na kutoelewana zingine, We komaaaa...

Utaolewa mara ngapi, unataka kila mahusiano yawe matamu matamu mwanzo mwisho, Olewa na YESU KRISTO basi Kila mahusiano yana Side A na Side B watu wengi wanaiweza side A tu ila ikija side B mbio mbio insta kuanika ya ndani mwao.

Shenziiiiiiiiii... muwe mapadri na Masista kama mapenzi hamuyawezi ebooooo....
 
Mimi namwelewa diva Sana[emoji120]sikubaliani na tabia zake anazopotray mitandaoni,manake sijawahi muona live.yuko sahihi,alikuwa anaishi kwenye a perfect world yake, [emoji120] alikosea akidhani huo ulimwengu anaweza kuuumba akiwa tized,very big mistake.kwamba udate na kuolewa na mwanaume handsome (kwa standard zetu za kibongo bongo)afu um-recreate kuwa a man of your dreams [emoji1787]haipo hiyo Tanzania,alifanikiwa to Vanessa,veemoney[emoji120]na siyo hapa ni huko ulimwengu wa kwanza[emoji120]
Vanessa ndo maana alikua anamkatalia kumzalia Jux, na sometimes alikua anaenda majuu kusaka fursa zilizo ndani ya carrier yake, alivyokutana na Rotimii hakulaza damu, chap akambwagaa jux na yeye kuzamia kwa baba 7, leo anakulaa maisha Atlanta.

Vee kajua kunifurahishaa mnooo. Hajawahi niangushaa kabisaa.
 
Kampongeza kwa kuvaa shela na kuondoa gundu[emoji1787]

Halafu kamwambia ampe exclusive interview amlipe 2/3.. na Mganga hivyo hivyo...

Ila kamalizia kuwa....Alimwambia tangu mwanzo hakuna ndoa pale "atamchezea" tu...Diva akamjibu..."Michezo ni Afya"[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Mange ni kichaa kabisaa, mie nilicheka hadi hoi
 
Mwenyewe narudi nyumbani nalala ndani ya gari,asubuhi naamka naingia kuswaki ndani kuvaa nasepa.

ratiba ndio hiyo mwezi sasa, na hatupost insta, sema mi naenda anzisha post THREADS kule ndio pana kikisha haraka.

Hamna mahusiano yasio na changamoto, muhimu hamdundani ni kasoro tu za kutoelewana basi kausha komaa na biti lako.

ingekua diva unadundwa mingeu daily ningetia neno, ila bado baby face yani ni maneno tu ya hapa na pale na kutoelewana zingine, We komaaaa...

Utaolewa mara ngapi, unataka kila mahusiano yawe matamu matamu mwanzo mwisho, Olewa na YESU KRISTO basi Kila mahusiano yana Side A na Side B watu wengi wanaiweza side A tu ila ikija side B mbio mbio insta kuanika ya ndani mwao.

Shenziiiiiiiiii... muwe mapadri na Masista kama mapenzi hamuyawezi ebooooo....
Akati amesema alikua anapigwa na kudundwa vibaya had mimba yake imeharibika.
 
Vanessa ndo maana alikua anamkatalia kumzalia Jux, na sometimes alikua anaenda majuu kusaka fursa zilizo ndani ya carrier yake, alivyokutana na Rotimii hakulaza damu, chap akambwagaa jux na yeye kuzamia kwa baba 7, leo anakulaa maisha Atlanta.

Vee kajua kunifurahishaa mnooo. Hajawahi niangushaa kabisaa.
Mi naona ni bahati tu ya Vanessa.. mana tukisema juhudi/akili binafsi tunakosea
 
Back
Top Bottom