Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Mimi namwelewa diva Sana🙏sikubaliani na tabia zake anazopotray mitandaoni,manake sijawahi muona live.yuko sahihi,alikuwa anaishi kwenye a perfect world yake, 🙏 alikosea akidhani huo ulimwengu anaweza kuuumba akiwa tized,very big mistake.kwamba udate na kuolewa na mwanaume handsome (kwa standard zetu za kibongo bongo)afu um-recreate kuwa a man of your dreams 🤣haipo hiyo Tanzania,alifanikiwa to Vanessa,veemoney🙏na siyo hapa ni huko ulimwengu wa kwanza🙏
Wewe dada nitakugawa sasa🤣
 
huyu si ndio mshauri wa mahaba sijui hivi vitoto vinajua ndoa ni kuliwa mbususu tu
unaondoka alafu unaandika mitandaoni vitoto vijinga kabisa kesho utasikia kimekua mtetezi wa haki za wanawake ,nyie vizazi vya mitandao ya kijamii itachukua karne nzima kujua mmearibiwa
 
Hahahaha huo ni uongoooo, huyo mganga anaonekana kabisa sio mpigaji, shangazi akazane kunywa dawa za chango mambo yatatimia kwa uwezo wa aliye juu.

Shangazi Wema nae alidai alifokewa na kibonge wake mimba ikatoka [emoji38][emoji119]
Siku hizei we bidada umechachuka si mchezo🤣
 
Huyu mbibi sasa alikataa nn na kumshambulia Faiza, mbna aliyo semaga Faiza ndo yeye leo kayarudia?? Au anatafuta kiki mjiniii? Maana slays, divas na chawas bila kiki hawana maisha town, lol.

Nweiii nasubiri afunguke zaidi, na sie tuongezee neno, tusije ambiwa sie Wanga bureee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic wewe binti we, hujambo!
 
Back
Top Bottom