Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Sasa hii inatuhusu namna Gani?
Mbona mwajuma kaachana na mumewe?
Mwamvua naye pia,
Huyo diva ni nani huko daslam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii inatuhusu namna Gani?
Kampongeza kwa kuvaa shela na kuondoa gundu[emoji1787]Kwani Mange Kimambi anasemaje?
Ha haaa hatari sanaKampongeza kwa kuvaa shela na kuondoa gundu[emoji1787]
Halafu kamwambia ampe exclusive interview amlipe 2/3.. na Mganga hivyo hivyo...
Ila kamalizia kuwa....Alimwambia tangu mwanzo hakuna ndoa pale "atamchezea" tu...Diva akamjibu..."Michezo ni Afya"[emoji38][emoji38][emoji38]
Afya ambayo Sasa inamliza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]Kampongeza kwa kuvaa shela na kuondoa gundu[emoji1787]
Halafu kamwambia ampe exclusive interview amlipe 2/3.. na Mganga hivyo hivyo...
Ila kamalizia kuwa....Alimwambia tangu mwanzo hakuna ndoa pale "atamchezea" tu...Diva akamjibu..."Michezo ni Afya"[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] diva bhana, yaan anavyoshusha maneno huko, naweza sema ni drama hii.Yaani wanataka kuwa kwenye page za watu daily [emoji119]
Vanessa ndo maana alikua anamkatalia kumzalia Jux, na sometimes alikua anaenda majuu kusaka fursa zilizo ndani ya carrier yake, alivyokutana na Rotimii hakulaza damu, chap akambwagaa jux na yeye kuzamia kwa baba 7, leo anakulaa maisha Atlanta.Mimi namwelewa diva Sana[emoji120]sikubaliani na tabia zake anazopotray mitandaoni,manake sijawahi muona live.yuko sahihi,alikuwa anaishi kwenye a perfect world yake, [emoji120] alikosea akidhani huo ulimwengu anaweza kuuumba akiwa tized,very big mistake.kwamba udate na kuolewa na mwanaume handsome (kwa standard zetu za kibongo bongo)afu um-recreate kuwa a man of your dreams [emoji1787]haipo hiyo Tanzania,alifanikiwa to Vanessa,veemoney[emoji120]na siyo hapa ni huko ulimwengu wa kwanza[emoji120]
Yaan hatarii tupuu.Ndo kilichobaki
Kila mtu kati ya Diva na mganga wafanye interview, atawapa Mil 3.Kwani Mange Kimambi anasemaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Mange ni kichaa kabisaa, mie nilicheka hadi hoiKampongeza kwa kuvaa shela na kuondoa gundu[emoji1787]
Halafu kamwambia ampe exclusive interview amlipe 2/3.. na Mganga hivyo hivyo...
Ila kamalizia kuwa....Alimwambia tangu mwanzo hakuna ndoa pale "atamchezea" tu...Diva akamjibu..."Michezo ni Afya"[emoji38][emoji38][emoji38]
Muna kampa ushauri konkiii mnooo, bora aufuatee.Yaani diva naona kama kavurugwa etii...maana anatoa Siri ,zote kaah
Akati amesema alikua anapigwa na kudundwa vibaya had mimba yake imeharibika.Mwenyewe narudi nyumbani nalala ndani ya gari,asubuhi naamka naingia kuswaki ndani kuvaa nasepa.
ratiba ndio hiyo mwezi sasa, na hatupost insta, sema mi naenda anzisha post THREADS kule ndio pana kikisha haraka.
Hamna mahusiano yasio na changamoto, muhimu hamdundani ni kasoro tu za kutoelewana basi kausha komaa na biti lako.
ingekua diva unadundwa mingeu daily ningetia neno, ila bado baby face yani ni maneno tu ya hapa na pale na kutoelewana zingine, We komaaaa...
Utaolewa mara ngapi, unataka kila mahusiano yawe matamu matamu mwanzo mwisho, Olewa na YESU KRISTO basi Kila mahusiano yana Side A na Side B watu wengi wanaiweza side A tu ila ikija side B mbio mbio insta kuanika ya ndani mwao.
Shenziiiiiiiiii... muwe mapadri na Masista kama mapenzi hamuyawezi ebooooo....
Mi naona ni bahati tu ya Vanessa.. mana tukisema juhudi/akili binafsi tunakoseaVanessa ndo maana alikua anamkatalia kumzalia Jux, na sometimes alikua anaenda majuu kusaka fursa zilizo ndani ya carrier yake, alivyokutana na Rotimii hakulaza damu, chap akambwagaa jux na yeye kuzamia kwa baba 7, leo anakulaa maisha Atlanta.
Vee kajua kunifurahishaa mnooo. Hajawahi niangushaa kabisaa.