Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Mganga ana kitu😀 atafika mbali
 
Hahahaha huo ni uongoooo, huyo mganga anaonekana kabisa sio mpigaji, shangazi akazane kunywa dawa za chango mambo yatatimia kwa uwezo wa aliye juu.

Shangazi Wema nae alidai alifokewa na kibonge wake mimba ikatoka [emoji38][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariii!!
 
Yule ana nyota ya bundi anapenda wanaume wenye pesa, afu hawapati!!!

Si uliona kwa King Kiba kapelekewa moto no 100 ya kununulia ubuyu walau amumunye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ifikie mahali mkubaliane kuwa sisi ma ngosha ndio tupo. Sasa we tafta mlamba lips ukamlee🤣🤣🤣
 
Sema ndio hivyo kuna kitu kilichomdatisha labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzangu haya mapenzi yana mambo na ndio mana huwa tunaambiwa wapenzi hata wakigombana tusiingilie mana wao ndio wanajuana vizuri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Penzi linamea popote mama. Ila mkiachana sasa ndio unaanza kuwaza hivi pale nilifata nini?
Kumbe unaelewa hilo eeh, majuto ni mjukuu siku zote 🤣
 
Yule ana nyota ya bundi anapenda wanaume wenye pesa, afu hawapati!!!

Si uliona kwa King Kiba kapelekewa moto no 100 ya kununulia ubuyu walau amumunye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kiba? Khaa!! kwan mie nilikua wapi huu umbea siujui. Namjuaga yule bwana ake Heri Music sijui. Kumbe hadi Kiba kapitamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hajachelewa bado atafute mdogo ake mmoja ajimilikishe azae kabla mayai hayajaviza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
As usual [emoji1][emoji1][emoji1] wasanii wabongo!!!
Waolewe na watoto wawaendeshe
 
Ifikie mahali mkubaliane kuwa sisi ma ngosha ndio tupo. Sasa we tafta mlamba lips ukamlee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ko nyie ndio mnazo pesa?!!
 
Akubali tu kuwa kayumba wanaume hawachaguliwi kama midoli madukani🤣! Unakataa a real man unachagua mlamba lips. Diva tatizo linaanziaga kichwani

Mwanaume sio sura wala siksipaki
Mwanaume ni kutafuta mali na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…