Kama ni hb sitaki. Wasumbufu sana[emoji14][emoji14]Cheti cha ndoa alikuonyesha?!! Huyo ni hb wanamsumbua madem ndiomana anawaambia hivyo
Sasa endelea kumleta broo ako kwenye Mali za watu.Wewe hayakuhusu?! Familia yetu unaijua yote?
Kama ni hb sitaki. Wasumbufu sana[emoji14][emoji14]
Wamongoli [emoji23][emoji23][emoji23] sawa my dada umesikika.Ko unawataka wamongolii wakuharibie sura watoto?!! Kelsea si unanipenda dadaako?!
Jiweke kwa extrovert utanishukuru
Sasa endelea kumleta broo ako kwenye Mali za watu.
Wamongoli [emoji23][emoji23][emoji23] sawa my dada umesikika.
Umeanza udalaliKo unawataka wamongolii wakuharibie sura watoto?!! Kelsea si unanipenda dadaako?!
Jiweke kwa extrovert utanishukuru
Umeanza udalali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo si hayo banaa
Arririiiiiiiiiiiiii harusi tunayo [emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo dada na Bichwa si wameanza kuitana wifi ,ayaaah wajuba tukaunga doti deal done Extro.Hahahah oya huo utani wa ngumi, sitakagi kabisa mambo ya uwani.
Ngoja aje mwenyewe ajitambulishe vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]Usimkubali huyo kibaka Monroe, muhuni muhuni tu mdogoangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo kwa extrovert anamiliki yard ya magari
Na gari ya pesa ndogo anazouza ni Nissan Dualis
Sasa jichanganye kwa Monroe ukavutishwe bhangi
Usije kusema sijakwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahaa huu ni utani wa ngumi.
Huyo dada na Bichwa si wameanza kuitana wifi ,ayaaah wajuba tukaunga doti deal done Extro.