Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Ko unawataka wamongolii wakuharibie sura watoto?!! Kelsea si unanipenda dadaako?!

Jiweke kwa extrovert utanishukuru
Wamongoli [emoji23][emoji23][emoji23] sawa my dada umesikika.
 
Hivi ujumbe angemwandikia muhusika kwenye namba yake ingependeza anauweka kwenye mitandao kutafuta nini senge kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usimkubali huyo kibaka Monroe, muhuni muhuni tu mdogoangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njoo kwa extrovert anamiliki yard ya magari

Na gari ya pesa ndogo anazouza ni Nissan Dualis

Sasa jichanganye kwa Monroe ukavutishwe bhangi

Usije kusema sijakwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja aje mwenyewe ajitambulishe vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom