Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

[emoji1787][emoji1787]

[emoji8][emoji182][emoji182][emoji182] baby kuna wanawake wanakunyemelea humu kwa gia ya kuwa wanaume

Nishashusha net kalale mme wangu

Huku tuachie sisi, tunaoachiwa kodi ya meza na shogaangu monnie

Kuchelewa kulala sio shida zetu

Kwanza kesho una kazi nyingi ofisini, kalale
 
Unacheka na vitu havichekeshi Braza.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utaumia sana dada monnie

Vinachekesha hujioni unavyoforce kuwa dume?!! Na wakati na wewe unaona mwezi jomoooonii

Upate mume sasa uolewe uache kutafuta wanawake wenzio wa kuwakoboa!!

Au hujiamini?! Km unalipa unaweza kupata bwana wa kukuweka ndani?
 
Nani anakukojolea ww maana una mdomo sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utaumia sana dada monnie

Vinachekesha hujioni unavyoforce kuwa dume?!! Na wakati na wewe unaona mwezi jomoooonii

Upate mume sasa uolewe uache kutafuta wanawake wenzio wa kuwakoboa!!

Au hujiamini?! Km unalipa unaweza kupata bwana wa kukuweka ndani?
Huoni unatumia nguvu nyingi kuandika gazeti. Ukweli huwaga uko brief.
 
Na kiba? Khaa!! kwan mie nilikua wapi huu umbea siujui. Namjuaga yule bwana ake Heri Music sijui. Kumbe hadi Kiba kapitamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Pole shogaa kitambo sana kiba kamla
 
Huoni unatumia nguvu nyingi kuandika gazeti. Ukweli huwaga uko brief.

Bado upo dada monnie?!! Magazeti naandika sana km wewe unavyoandikaga

Sema leo nimekushika pabaya, unataka kujitoa na huwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakushauri kunywa maji mengi upumzike, kesho nayo ni siku
 
Kiba kawakaza wengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lulu Michael sana tu na hata siku alivomuua kanumba MTU WA kwanza kumpigia Kiba akaenda kumsaidia na alivotoka jela mwanzoni kamla mla ndo akaanza Sasa kurudi kwenye fomu yake
 
Back
Top Bottom