Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Huyo wa juu the way anaandika, napata mashaka kwamba hata chuo kikuu hajafika ...
 
Hawajui kipi ni kipi ,hatari sana,mtu hajui kati ya jina na sahihi kipi kitangulie ,ila huyu naye utakuta anajilinganisha na mwalimu na kujiona anamzidi mwalimu,poor girls
Wewe unaejua , hiyo kujua imekusaidia nini cha kuwazidi ?
 
Mmiliki wa jengo ndio hafatiliwi tena, kisa RC kamtumia Niffer kusukuma siku waweje sijui.

Sasa Niffer anaenda kuchangia za pole, sijui watakataza followers wake?

Wauaji wa maafa wapo huru serikalini inaonea wa nia, njema.
 
Hizi mbilinge zenu za kujuana na kutukuza majina ya “washkaji zenu wa enzi ndio yametuzalia Boys 2Men, tuko kwenye blues mpaka leo!
Kwenye Playlist ya Boyz2men - bended knees, mama I love you , I will make love to you,, just fine ngoma zangu pendwa
 
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..

Acha wivu
Aje tumchangie ya poleeeee

Nyota anayo binti Niffer

Watesi mmemuweka ajulikane zaidiiiiiiii
 
Wakiachiwa hawa bila case itakua ni dharau kwa watanzania wote wenye case mahakamani , police, state Attorneys wa NPS, na mahakimu, sheria ifate mkondo wake kama sio ivyo watuhumiwa wote wawe wana andika barua
 
Mkuu kijiwe chenu cha kahawa kipo maeneo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…