Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Umeshiba manumbu au matobolwa huo muandiko 😂Muandiko wa Diva umekaa kinyamwezi sana 🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshiba manumbu au matobolwa huo muandiko 😂Muandiko wa Diva umekaa kinyamwezi sana 🔥
Huyo wa juu the way anaandika, napata mashaka kwamba hata chuo kikuu hajafika ...Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:
• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
Wewe unaejua , hiyo kujua imekusaidia nini cha kuwazidi ?Hawajui kipi ni kipi ,hatari sana,mtu hajui kati ya jina na sahihi kipi kitangulie ,ila huyu naye utakuta anajilinganisha na mwalimu na kujiona anamzidi mwalimu,poor girls
Huu muandiko unanikumusha primary tulikuwa na tabia ya kuandikiana barua za kirafiki na shule rafiki ya huko ng'amboUmeshiba manumbu au matobolwa huo muandiko 😂
Kwenye Playlist ya Boyz2men - bended knees, mama I love you , I will make love to you,, just fine ngoma zangu pendwaHizi mbilinge zenu za kujuana na kutukuza majina ya “washkaji zenu wa enzi ndio yametuzalia Boys 2Men, tuko kwenye blues mpaka leo!
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..
😂 basi Diva ni mabaki ya wazungu wa Buhaya landHuu muandiko unanikumusha primary tulikuwa na tabia ya kuandikiana barua za kirafiki na shule rafiki ya huko ng'ambo
Yale mazungu yalikuwa na miandiko kama huo wa Diva 😄
Hiyo ndio wanatanganyika wamepigwa nayo since 2005 iko on replay….Kwenye Playlist ya Boyz2men - bended knees, mama I love you , I will make love to you,, just fine ngoma zangu pendwa
Kama wewe tu!Kumbe kuandika hawajui na urembo wote uho wanaojifanya waremboo
Mkuu kijiwe chenu cha kahawa kipo maeneo gani?we sema kuna wazee wakisikia njaa wanaenda kunywa chai ikulu,
namkumbuka maj general marwa aliwahi kwenda ikulu wakati wa mwinyi kufika akamwambia amekuja kuomba kazi ya kufyeka nyasi ikulu amechoka kukaa bila kazi, mwinyi akamteua kuwa balozi nigeria.
nyerere aliwahi kwenda zambia rais akastukia yuko ofisini kwake akamwambia nimekuja kumchukua rafiki yangu kaunda, kwa kitete akaagiza apelekwe gerezani kumwona kaunda akamkuta amedhoofu sana kwani aligoma kula. akamwamuru ale na apewe maji ya kunywa alivyoshiba akamwambia twende, wakaondoka nae hadi ikulu kufika akamwambia rais naondoka nae, ndio kaunda aka opt kwenda kwa mwanae canada. mjini kuna wazee wana nguvu. usiombe. ukiona tumbili mjini anamwenyewe.
njoo tabata baracudaMkuu kijiwe chenu cha kahawa kipo maeneo gani?