Diva: Siwezi kudate na mwanaume yeyote wa Bongo Movie kwa sababu hawajui kiingereza

Nasubiria nione mwisho Wa hizo hoja zake.
1. 200 mil.
2. Kiingereza.(Akili )

Ova
Aliulizwa na adam mchomvu kuhusu hiyo 200ml kadai haitaki tena anahitaji mapenz ya dhati tu

Kazi kwako ukikidhi kigezo cha kingereza
 
ama kweli pesa na akili nyingi ..........
hivi alishamsikiliza msagasumu
 
Neo Colonialism haijawahi kutuacha salama , ndiyo walikuwepo Pan Africanist kwani waliliona hili mapema , R.I.P Our former Leaders of Pan Africanist , mlitufundisha Waafrika kujithamini lakini mmeondoka lengo likiwa halijafikiwa.
Umagharibi mwingi umewachota akili vijana wetu
 
Yaani huyu ananichefuaga mxiuuu angekuwa mzuri cjui ingekuaje
 
Yule heri music alimkomesha kweli kweli huyu ngariba wa kike
 


Et mzuri kuliko watangazaji wote? Phewww

Kingereza chenyewe anachoongea kibovu kama cha kwangu, angekuwa ata anakingereza kama cha Vannesa mdee kidogo ningemwelewa

Ila kwenye mahari yote Hiyo atakaa
Sana mpk kuiona ndoa
 


Et mzuri kuliko watangazaji wote? Phewww

Kingereza chenyewe anachoongea kibovu kama cha kwangu, angekuwa ata anakingereza kama cha Vannesa mdee kidogo ningemwelewa

Ila kwenye mahari yote Hiyo atakaa
Sana mpk kuiona ndoa
Kumbe ndio huyo?
 
Hana vigezo ni wa kawaidaaaaaaa aaaaaaaaaaaa aaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…