Diva: Siwezi kudate na mwanaume yeyote wa Bongo Movie kwa sababu hawajui kiingereza

Kingereza ni lugha kama lugha zingine... YAPO MAZUZU kibao yanaongea kingereza... Lakini HAWANA LOLOTE
 
Duh kweli vyuma vimekaza.... mpaka mtaji unatafutwa kwenye mahari...!!!
 
Diva hayupo sawa.. Apelekwe hospital mapemaa
 
ina maana dushe langu na papuchi lake vikikutana huko site kutakuwa na lugha gongana..??...
tatizo mtuno wa wallet ndio unamwewesha huyo kipapa...
 
hahah..... anafikiri mwanaume anayejua kuongea kiigilishi ndio atamsaidia kumtoa baba ake jela au hahahahah
 
Taa nyekundu zikishawaka, ndo ufa maji unapoanzia.
 
Ndege wafananao ndiyo huruka pamoja...

Kama na yeye ana akili nyingi atampata wa kufanana nae...

Ila kama anaakili fupi, mpaka aje kumpata huyo mwenye akili nyingi, viungo vyake vya uzazi vishaumia sana...

cc: mahondaw
 
Anapenda mwanaume mwenye akili na anayejua kiingereza.

Kujua lugha yoyote ile hapa duniani si dalili za kuwa na akili nyingi.

Lugha ni lugha tu na akili ni akili tu. Hivi ni vitu viwili tofauti.
that's is true 'language doesn't means the level of IQ of someone'......waweza kuta mtu anagonga ngeli za mambele lkn ukikaa naye kwenye midahalo hana la maana kichwani
 
Aendelee kuchagua tu,ila tusijemuona huku katika maombi ya kutafuta mume maana hakuna mahari ya 200 m.
labda akaolewe na dk shika.
 
Aendelee kuchagua tu,ila tusijemuona huku katika maombi ya kutafuta mume maana hakuna mahari ya 200 m.
labda akaolewe na dk shika.
 
DAH KACHEMKA KINGEREZA NDO AKILI
 
Mbona ni demu MBAYA TUU, KAJALIWA SAUTI TUU LKN UREMBO HANA ! N KM MBUZ TUU HAHAHAHAHAH SASA MBWEMBWE NA MIKOGO YOTE YA NINI ? HATA HAO WA BONGO MUVI HAWAJAMSHIBOKEA B'SE N YY CO MREMBO.CHENGA SANA HUYO MWANAMAMA
 


mzinguaji tu, kingereza ndio kinaingia kwenye mahusiano au mtu na nafsi yake..?.. acha wapigiane pasi
 
Duuu vtu vngne vinatia hasra,yy n nan hasa,au ndo kutafta kiki tu??? Acha nkae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…