Diva: Siwezi kudate na mwanaume yeyote wa Bongo Movie kwa sababu hawajui kiingereza

Huyu mama nanliu nae ana kazi kweli kweli
 
Ndege wafananao ndiyo huruka pamoja...

Kama na yeye ana akili nyingi atampata wa kufanana nae...

Ila kama anaakili fupi, mpaka aje kumpata huyo mwenye akili nyingi, viungo vyake vya uzazi vishaumia sana...

cc: mahondaw


keshavurugwa huyo
 
mahakimu kama walioandika hukumu ya sugu je, anaweza kuwadate?
 
Anastahili kushtakiwa kwa kukosa uzalendo, pumbavu zake huyu.
Haoni kiongozi mkuu wa nchi anazungumza kiswahili hata kwny mikutano ya kikanda?
 
Ni sawa...

Kila mtu ana kipaumbele chake, nae chake ni kingereza..
 
Anaporopoka huo upuuzi akumbuke kuwa hana kivutio chochote hapo alipo... Sio akili,sura, shepu nzuri, umri umeenda na mbaya zaidi hana tako!

Ajibidiishe katika kazi maana ndio mkombozi wa maisha yake yaliobaki. Hamna mwanaume timamu ataeoa chizi,,,labda asubirie wakulima waje wamu wowe baada ya kuuza mazao kijiji!
 
Hivi umuhimu wa Kiingereza kwenye mahusiano hasa ni nini?
 
KING CRAZY GK NAYE ANAJUA KIINGEREZA? PINGU NA DESO NAO WANAJUA KIINGEREZA?
 
Niulizien Basi jamani Kama namfaa...mie ni mwl wa English ...aka akili kumkichwa....
 
Yangu macho umaarufu kuumauntain kazi sana hata mavi wanaweza kula
 
English sio level of intelligence
Ni lugha tu kama kilivyo kisukuma,kihaya etc
 
yeye kingereza anajua?? huyu nae sijui alichelewa kuingia katika mahusiano mbwembwe nyingi halafu anaishia kumegwa na vituko
 
Kwani hicho kiingereza kitamfikisha juu kabsa ya mlima Kilimanjario, aache kutapatapa na mapenz, kwa umri ule alitakiwa awe na familia yake ila hajui tu hata yeye ni bongo muvi,
ndio manake, inawezakuwa nyege zake zinapandwa kwa kumsemesha lugha ya malkia.
 
Huyu naye anazeeka vibaya
 
Kuna bongo movie gani anataka kuoa bibi kizee yule?
Tumwache aendelee zake kuzeeshwa na viben ten vinavyompakua lakini havina mpango wa kumuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…