Diversity Visa 2020 Green Card Lottery Starts Today!

Hivi hii kitu huwa ni kweli au ni full utapeli
 
Kiongozi, mimi nmebahatika kupata mwaka huu,, ningependa kujua nn kiliwakwamisha jamaa mpka wakashndwa kupata greencard, ili nisirudie makosa
 
interview wanauliza maswali gani??
 
Wakuu dirisha lipo wasi tangu jana tarehe 3/10/2019 muda wa mwisho sijajua. Muhimu uwe na passport (pass ya kusafiria) education au two years of experience in work, using o*net.com, photo na all valid documents zinazotakiwa.

Jaribuni bahati zenu, wabongo tunakuwaga wachache sana..
 
Wabongo wnakuwaga wachache lakin chaku shangaza wanao kosa ni wengi
 
Majibu yamekwishatoka, kwa wale mlioomba mwaka jana mnaweza kuangalia kama mmechaguliwa. Ikitokea hukuchaguliwa bado nafasi unayo unaweza kuomba tena mwezi October mwaka huu. Kila la kheri.
Habari za siku nyingi mkuu? Tunaendelea kupambana na mchakato.
Nitakuja inbox kama kawaida
 
Kiongozi, mimi nmebahatika kupata mwaka huu,, ningependa kujua nn kiliwakwamisha jamaa mpka wakashndwa kupata greencard, ili nisirudie makosa

Ndio naona sasa hii mkuu. Kikubwa ni kua na cheti cha form minimum au kama hujasoma uwe na ajira umefanya at least two years na uwe na uthibitisho wa barua ya hiyo ajira
 

Nilishinda hiyo kitu mara moja tu aisee sikuamini siku natua Washington DC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…