DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Hapo kwenye ushoga sasa ni hatarii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanahemkwa na hakuna 7bu mahii.
Ila Waja bhana, Lol
 
Mbona wanaitwa hao ni mashoga, makhanithi, na wagumba, tena huyo John Cena anavosakamwa sasa.
Woiiiiih πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona wanaitwa hao ni mashoga, makhanithi, na wagumba, tena huyo John Cena anavosakamwa sasa.
Woiiiiih πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanaowasakama ni wachache na hajali, wengi kule wanaangalia kile unacho offer kupitia kipaji chako mengine ni maisha yako na yanakuhusu wewe....Wabongo wanapenda kuwaamulia watu maisha🀣
 
Mwanaume na mwanamke walioleta kiumbe duniani na kutaka gharama za malezi zibebwe na mwanaume mwingine, pamoja na wewe unaeona hilo jambo ni sahihi wote ni wajinga, wapumbavu na virusi hatari sana kwa mustakabali wa jamii.

Wajinga na wapumbavu kama nyie kitu pekee ninaweza kuwasaidia ni pakti ya kondomu tu, ili next time msilete tena kiumbe hapa duniani kije kuteseka kwa sababu ya nyege zenu. To take care of your kid's needs, that's is bare minimum responsibility for parents. Ukishindwa jukumu hilo utaweza lipi sasa.
 
πŸ’―
 
Osha vyombo pika tule tutulie acha janja janja.
 
Wanaume wa Kiafrika wanalichukilia vibaya neno single mother? Sema baadhi ya wanaume wa Kiafrika. Mbona single mothers hata wagumba wanaolewa sana tu kote barani Africa. Binafsi sioni tatizo mtu kuoa single mother au kuolewa na single father. Ila pia natambua kwamba kuna watu wana maoni hasi dhidi ya single mothers and that's okay. Nadhani hoja yao ni kwamba kuna risk kubwa kuoa single mothers -walioachika hasa. Sioni ubaya wa hii hoja. Wanapokosea ni kufanya ionekane kwamba single mothers wote ni tatizo.
 
Say a person aliyejifaragua hapa eti yupo kwenye process za mwisho mwisho za kuadopt mtoto, hahahahaha nilikwambia huna roho hiyo btw huna hata pesa hiyo ya kumiliki mtoto unadhani kulea mtoto mchezo,
Sasa baada ya kuandika yooooote hayo kwa hasira na uchungu nakuuliza ni nani amekulazimisha uoe single mother? ni nani amekulazimisha ulee mtoto si wako? kwanini usideal na types zako na kuacha wengine wadeal na types zao mbona kama wewe ndio unateseka na maisha ya wengine? hujihurumiii???

Nikwambie kitu wewe mkosa ajira, tafuta watoto kwanza uione thamani yake, kama mbegu zako hazitungishi mimba usiwakasirikie waliojaaliwa kuzaa tiba zipo hospitalini na kienyeji, single mothers na single fathers wapo lelele na watoto wao kazi kwako kisebengo uloacha kufanya yako ukajitishwa uhakimu kwenye maisha ya watu wengine, upoooooπŸ‘ŒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hapo kwenye utulivu wa akili na mwili ndo mhimili wa mahusiano.
Btw, binafsi huwa siwezi kutofautisha utii na upendo.
 
Single motherhood kwa ujumla wake ni red flag. Kwenye mapenzi mara nyingi logic inazidiwa nguvu na emotions. Uki-fall in love hata kwa malaya utatafuta exception ya kuhalalisha kuwa nae. Muhimu ni kujua hii red flag then piga chini angalia chaguo jingine.

Unajua hata single mother tu mwenyewe deep down anakuona mjinga kwa ku-settle nae. Wanawake wanajua wanaume tuna-prefer wanawake waliojitunza. Utakapomkubali yeye anakuona mjinga coz you accept to settle for less.

Wanawake wapo ruthless sana kwenye machaguzi yao. Akikutathmini na kuona hauwezi ku-elevate maisha yake, hawezi kukubali hata kama anajua wewe ni mwanaume mwema. Hii huruma uliyonayo wewe kwa single mother, utakapofika wakati wa single mother kuchagua kimoja kati yako na masilahi yake hawezi kukuhurumia. Lakini wanaume ndio tunambwela sana kwenye kusimamia standards.

Tulianza kutetea na kuoa wanawake wasio bikira, sasa hivi hakuna bikira mtaani. Tukafanya hivyo hivyo kwa single mother, sasa hivi tuna masingle mother wa mpaka mwaka 2009 tu hapo. Kwa hii trend ya wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile, tusipokumbushana standards tunaweza kufika hatua ya ku-normalize kuoa mwanamke asiekua na malinda.

Standards standards standards
 
πŸ‘† Kila mwanaume ahakikishe anaishi kwenye neno hili utajiepusha na majuto mengi.
Yaah single maza sio wa kumuamini 100% kuhusu yeye na baba wa mwanae.

Jamaa kurudi kuichapa ni rahisi, kuna mmoja alinitamkia wazi kua yeye hawezi changanya damu. Sasa huyo kasema wapo ambao wanakula buyu afu unazaa nae kumbe mtoto si wako.
 
Mkuu sijaamini leo kukutana na single maza wa 2010, nimemuuliza mara mbimbili alooo kweli ni wa 2010 ni pure certified single maza.
 
Kama mwanamke hazai na mtu asiyempenda kwanini mwanamke huyohuyo anaweza kumuacha mwanaume aliyezaa naye? Au unataka kusema hawapo wanawake waliokimbia waume zao waliokwisha zaa nao? Mbona wapo wengi sana.
Hujaelewa.

Sasa si kamkimbia baada ya kuzaa nae ndgu, wakati anafanya maamuzi ya kuzaa nae alikua kampenda.
 
Hujaelewa.

Sasa si kamkimbia baada ya kuzaa nae ndgu, wakati anafanya maamuzi ya kuzaa nae alikua kampenda.

Kwamba wanawake wanazaa na wanaume waliowapenda tu? Kwamba hakuna "mistakes" zinazoweza pelekea mwanamke akajikuta na mimba au hata kuzaa na mtu asiye na mapenzi naye ya dhati? Hivi unajua kwamba mahusiano mengi ya kingono yanayosababisha mimba huwa hayajatokana na kupendana kiukweli? Vyanzo mojawapo huwa ni kudanganyana, utoto, mkumbo, tamaa, ujinga etc. Hebu kuwa serious mkuu.
 
Vyanzo vyako vinaweza kuwa na mantiki kwa binti ambaye ni under age kuitwa mtu mzima. Lakini binti wa miaka 20+ kusema kadanganywa hapana ndugu yangu. Huyu alikua anajua anachokifanya. Tujaribu kuwa na balls za kuwawajibisha wanawake kama tunataka hili tatizo liishe. Most of them are not victims, they chose chaos by choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…