DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Kuna vijana ni wajinga. Wanafikiri wao ni wa tofauti. Wanafikiri wao wana hekima na busara zaidi ya wanaume wote waliopiga na kusepa. Wanafikiri commitments na sacrifices zinaweza kubadilisha behavioral pattern ya mwanamke
 
My unpopular opinion… As long as mtu ni mwanamke, amezaa au ana tarajia kuzaa, ni single mother mtarajiwa. Mostly…..

Kwasababu mwanaume kutokuwa kwenye maisha ya mwanae ni CHOICE anakuwa amefanya, kwa circumstances zozote zile angechagua kufanya tofauti hili jina single mother lisingekuwepo.

Bado kuna single mother wa kwenye ndoa, sorry not sorry… Hawa wameshindwa kuendure shame ya kuitwa single mother kamili wameona wajifiche huo.

It all starts with a man.
 
Kuna vijana ni wajinga. Wanafikiri wao ni wa tofauti. Wanafikiri wao wana hekima na busara zaidi ya wanaume wote waliopiga na kusepa. Wanafikiri commitments na sacrifices zinaweza kubadilisha behavioral pattern ya mwanamke
Mbaya zaidi kuna wale ambao hawapend kuzaa na wanaume tofaut na wale wa mwazo(hawachanganyi mbegu).

Hao ndo hatar na nusu, unaweza tegemea una watoto kumbe unalea wa wenzio.
 
Mwanamke ndie muamuzi mkuu linapokuja suala la kushika au kutoshika mimba
Wote ni wahusika wakuu, sio mwanamke peke yake, na zingine wanasababisha wanaume ziingie, kikubwa kuwaheshimu tu na kuacha kuwaandama, zipo njia nyingi tu za kuzuia ujauzito na wanaume tunazijua

Mifumo dume.. inawaandama sana hawa viumbe
 
Wanawake wengi wanafikiri wakigombana au wakiachana na mzazi mwenza basi mtoto anatakiwa kusimama upande wa mama kwenye huo ugomvi. Hii kitu inapelekea kumpandikiza sumu mtoto au kukata interactions baina ya mtoto na baba ake. Father figure absence kwenye malezi ya mtoto mara nyingi sababu huws ni mama mtoto kutaka ku-prove she is a super woman.
 
Not always true!

Single mother ni single mother sababu wameamua kuzaa, na yoyote aliyeamua kuzaa anaweza kuwa single mother mtarajiwa, sababu “baadhi “ ya viumbe wa kiume kitu pekee wanachojali duniani ni ego yake.

Anyways nilichomekea tu hiko, mada yako ilikuwa ni kwaajili ya wanaume… i am out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…