Yes, and the other way round pia. Kuna wanaume wapo kwenye mahusiano kwasababu hiyo hiyo pia. Maji ukiyavulia nguo lazima uyaogeMy unpopular opinion… As long as mtu ni mwanamke, amezaa au ana tarajia kuzaa, ni single mother mtarajiwa. Mostly…..
Kwasababu mwanaume kutokuwa kwenye maisha ya mwanae ni CHOICE anakuwa amefanya, kwa circumstances zozote zile angechagua kufanya tofauti hili jina single mother lisingekuwepo.
Bado kuna single mother wa kwenye ndoa, sorry not sorry… Hawa wameshindwa kuendure shame ya kuitwa single mother kamili wameona wajifiche huo.
It all starts with a man.
Kwa jamii ambayo hairuhusu abortion, jamii ambayo wanaofanya illegal abortion wanakuwa shamed pia, sikutegemea mtu aliyezaa awe shamed only kwasababu analea pekeyake…. Principally amechagua kitu sahihi…. Sijui kama tunaliona hili.I'd like to argue.
Kama initial attraction Huwa inaanza Kwa mtu mmoja, hivyo hivyo hata kwenye kuzaa mwanamke anaweza kuwa seduced mpaka akazalishwa. Or the other way round mwanamke akamshawishi kijana na kuzaa nae
Unfortunately baba bora wanaitwa simps pia , tembea uone…..Yes, and the other way round pia. Kuna wanaume wapo kwenye mahusiano kwasababu hiyo hiyo pia. Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge
Lazima awe shamed(according to my perspective) hapo kwenye abortion nakukatalia hata iweje, just because umezaa Kwa sababu ulikuwa seduced. How can you?Kwa jamii ambayo hairuhusu abortion, jamii ambayo wanaofanya illegal abortion wanakuwa shamed pia, sikutegemea mtu aliyezaa awe shamed only kwasababu analea pekeyake…. Principally amechagua kitu sahihi…. Sijui kama tunaliona hili.
Tutajadili hili siku nyingine, huu uzi ni wa kwao hawa wanaume na masomo yao binafsi.
Mimi naona simp ni yule asiyejua boundaries, asiye kuwa na uwezo wa kujua redflags. But real men, knows how to fry their own fishUnfortunately baba bora wanaitwa simps pia , tembea uone…..
Tatizo langu ni UNO reverse card inayotumiwa na wanaume kwenye kila kitu….Lazima awe shamed(according to my perspective) hapo kwenye abortion nakukatalia hata iweje, just because umezaa Kwa sababu ulikuwa seduced. How can you?
Mimi nabase kwenye huo usawa uliozungumzia mwanzo tu, kuwa both ends Huwa wana point fingers to one another. Na kinacho mmfanya mmoja avumilie ni kujali watoto, au aibu ya jamii
Wakati huo huo “naive” ndio sifa ya mwanamke mzuri!?Mimi naona simp ni yule asiyejua boundaries, asiye kuwa na uwezo wa kujua redflags.
Nime-base kwenye baiolojia zaidi. Mwanamke mdie gatekeeper wa fertilityI'd like to argue.
Kama initial attraction Huwa inaanza Kwa mtu mmoja, hivyo hivyo hata kwenye kuzaa mwanamke anaweza kuwa seduced mpaka akazalishwa. Or the other way round mwanamke akamshawishi kijana na kuzaa nae
Mkuu linapokuja swala la mahusiano(attraction) na love making, nothing logical makes sense sometimes. It's always trial and error.. so tunaweza tukaja na options chungu mzima ila love is unexpectedly gonna defy themMtu ili asifanye jambo moja, lazima awe amepewa options, au basi asiwe involved kabisa. Mfano ili mwanamke asiwe single mother , asizae kabisa 😂 Jokes right???
Yep, I like naive women... Yaani anipende Kwa jinsi nilivyo unconditionally.Wakati huo huo “naive” ndio sifa ya mwanamke mzuri!?
Tukiacha personal experience, tukajadili mitazamo ya jamii.
Mi naona ni good match, a naive ke + Me asiyejua boundaries 😅
Sasa mkuu, huoni logic inakosa mashiko Sasa, unataka kumlaumu gate keeper aliye sababisha biology(which is instinctual kutokea)...Nime-base kwenye baiolojia zaidi. Mwanamke mdie gatekeeper wa fertility
Kumbuka maamuzi yanahitaji logic, sio biology... Na swala la attraction (reproduction) ni la boilogia zaidiNime-base kwenye baiolojia zaidi. Mwanamke mdie gatekeeper wa fertility
Kwani hua kunae double mother?My unpopular opinion… As long as mtu ni mwanamke, amezaa au ana tarajia kuzaa, ni single mother mtarajiwa. Mostly…..
Kwasababu mwanaume kutokuwa kwenye maisha ya mwanae ni CHOICE anakuwa amefanya, kwa circumstances zozote zile angechagua kufanya tofauti hili jina single mother lisingekuwepo.
Bado kuna single mother wa kwenye ndoa, sorry not sorry… Hawa wameshindwa kuendure shame ya kuitwa single mother kamili wameona wajifiche huo.
It all starts with a man.
Ubishi uliotokea kati ya energy na Hennessy 😂Kwani hua kunae double mother?
Kabla sijachangia hoja, bora waseme single parent.
Sitaki chupa ya soda niletee energy....
Nakazia hapaMbona tulishakubaliana ni kuchangamsha nao kijiwe tu.
Ukitaka kuoa kabisa na baba mtoto/watoto yupo hapo ni kujitafutaia majanga.
Mwanamke hazai na mtu asiempenda. Asikudanganye anamchukia baba mtoto wake aisee. Anaweza mchukia aliembikiri ila sio baba wa mwanae.