DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ujue swala sio kushinda Urais, ukishinda Urais afu una wabunge wa CCM wengi haina maana.
Lengo kuu ambalo napenda litokee ni wabunge wa Chadema kuwa wengi angalau kuanzia 150 ili Serikali iwahitaji wote katika kufanya maamuzi
Nalo haiwezekani,CCM sio wajinga kwamba wataweka wagombea ambao hawakubaliki au? Wataenda na upepo huo huo.
 
Rais Samia anaweza asigombee 2025 Ila akafanikisha Katiba mpya maana Kuna kauli ya nilimsikia anaongea kwamba anataka anapomaliza Miaka Yake 5 awe amewatendea Jambo Watzn..
Bora asigombee kabisa aisee!

Mtu gani unakopa til 30 kwa mwaka alafu umeweka na mikodi kibao huku gharama za bidhaa zikiwa juu kwa asilimia zaidi ya 200?
 
Kuna kitu ameona hakiko Sawa , anaona anachoweza wasaidia wananchi ni Katiba , athuman, lukuvi , na kabudi wanafanya nin Ikulu
Umeona mbali!

Watu wanawadharau Kabudi na Lukuvi ila huenda ndio wanaoandika kitabu hivi sasa
 
Hapo kwenye Katiba Mpya labda iwe ile pendekezwa ya CCM, lakini kama akileta muundo wa ile Rasimu ya Warioba, yenye maoni ya wananchi, hapo nitamkubali kweli Samia ni chuma..
 
Back
Top Bottom