IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Taja siri 2 tu za ikulu zilizovuja alizovujisha kigogo?Kuna kipindi cha Siri kuvuja kama kile cha jiwe? Kigogo na Mange walipataje umaarufu.?
Kigogo alikuwa anawalisha uzushi siyo siri zile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja siri 2 tu za ikulu zilizovuja alizovujisha kigogo?Kuna kipindi cha Siri kuvuja kama kile cha jiwe? Kigogo na Mange walipataje umaarufu.?
Watanzania tunapenda udaku.Halafu uzi ulichangiwa kidogo kumbe ndio umejaa facts
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kauli hii aliisema wapi mkuu?Rais Samia anaweza asigombee 2025 Ila akafanikisha Katiba mpya maana Kuna kauli ya nilimsikia anaongea kwamba anataka anapomaliza Miaka Yake 5 awe amewatendea Jambo Watzn..
Tuanzie ya Magufuli kuugua na kufaTaja siri 2 tu za ikulu zilizovuja alizovujisha kigogo?
Kigogo alikuwa anawalisha uzushi siyo siri zile
Ni mabadiliko magumu kutokeaNalo haiwezekani,CCM sio wajinga kwamba wataweka wagombea ambao hawakubaliki au? Wataenda na upepo huo huo.
8yrs agoHapo kwenye Katiba Mpya labda iwe ile pendekezwa ya CCM, lakini kama akileta muundo wa ile Rasimu ya Warioba, yenye maoni ya wananchi, hapo nitamkubali kweli Samia ni chuma..
Sasa hivi Yohana na division 0 minus.Kwa nyuzi kama hizi unatamani kila siku uperuzi JF kabla Yohana hajaja na uzi wake wa mzee Mgaya
Yeah.Utata ni kuwa huyu jamaa aliyepost ni nani, bila Shaka atakuwa ni mtu wa cybercrime, kuna mwamba pia alishawahi kupost humu zamani Sana kipind cha JK kuwa Rais atakayefata ni Magufuli Ila hatafika 2023, badala yake atatawala mwanamke na yeye sijui ataishia wap wapi... Halafu jamaa alipotea mpaka Leo, Uzi wenyewe sijui JamiiForums walipita nao
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Taarifa huwa hazivuji kwa bahati mbaya.Nchi haindeshwi hivyo kwani kuvuja kwa taarifa nyeti kunavuruga mipango mizuri na kuwapa faida adui.
Huo hapo jikumbusheIlikuwa bonge la uzi. Siku moja nilitafuta sikuuona tena mpaka leo
HahahahaChanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.