DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hapo kwenye Katiba Mpya labda iwe ile pendekezwa ya CCM, lakini kama akileta muundo wa ile Rasimu ya Warioba, yenye maoni ya wananchi, hapo nitamkubali kweli Samia ni chuma..
8yrs ago
 
Yeah.
 

Ina maana kazi ya Kikosi kazi na kazi ya Samia β€˜/ Mbowe ni ipi imezaa matunda ?
 
Ilikuwa bonge la uzi. Siku moja nilitafuta sikuuona tena mpaka leo
Huo hapo jikumbushe

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…