DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Oya wadau hii kitu ilipostiwa December 2 mwaka 2022 halafu yametimia.. huyu aliyepost yeye ni nani?

Halafu hii post ndio naiona leo asee
Ni mtu mwenye connection na watu wa karibu na mama bila shaka. Mimi naombea tu kuanzwa kwa huo mchakato wa Katiba Mpya.

Iwapo huo mchakato utarejeshwa, na kumalizika kwa amani; walau nitamuunga mkono na kumpongeza Rais. Ila bado sijaelewa sababu ya kuondolewa kwenye wadhifa wake huyo Diwani Athumani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…