Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Wanalamba asali unazani watamkumbuka mlala njaa?Kumbe mmo ndani ya JF mnajificha kwa ID.
Mwambie huku mtaani hali ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalamba asali unazani watamkumbuka mlala njaa?Kumbe mmo ndani ya JF mnajificha kwa ID.
Mwambie huku mtaani hali ngumu
Enzi za jpm zilikuwa zinavujia kwa Kigogo na MangeYanarudi yale yale...!!
Nyaraka za siri za nyumba kuu kusambazwa kwenye vyombo vya habari kama enzi za J Mkwere.
KAzi ipiPM wetu anatosha saaana, sema kuna kumdi linamuhujumu wakifikiri mbele ya safari ataziba nafasi zao, lakini huyu mzee hana mambo mengi
, ni mchapa kazi
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Ulidhani uko peke yako?Hands up!, nimekunyanyulia mikono.
P
Hii ndio legacy atakuwa Rais wa pili kwa ubora baada ya NyerereRais Samia anaweza asigombee 2025 Ila akafanikisha Katiba mpya maana Kuna kauli ya nilimsikia anaongea kwamba anataka anapomaliza Miaka Yake 5 awe amewatendea Jambo Watzn..
We mchumia tumbo tu, watu wanawazia mambo ya maana we unawaza ubwabwa tu🤣🤣Naomba mikutano ya Siasa isaidie unga kushuka bei,mafuta kushuka bei,mchele na bidhaa zingine pia isaidie miradi kukamilika na kuanzisha mingine
Diwani Athuman ashaondolewa TISS?Taarifa zilikuwa za ukweli, ngoja tusubiri Katiba
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Ahahahahah!Hii ndio legacy atakuwa Rais wa pili kwa ubora baada ya Nyerere
Hata mimi nimeiona Leo na wakati inapostiwa ilikosa wachangiaji kabisa. Yametimia na yaliyobaki napigia mstari KATIBA MPYAOya wadau hii kitu ilipostiwa December 2 mwaka 2022 halafu yametimia.. huyu aliyepost yeye ni nani?
Halafu hii post ndio naiona leo asee
Ni ngumu kujua yatakayotokea ktk future hadi pale yatakapotokea ndipo unapokurupuka, "tulifeli wapi".Tulifeli wapi?
Mjinga wewe mwenyeweKwanini mtu uanike Siri za ikulu ya nchi yako hivi? Yaani mtu anajua mpaka mkurugenzi wa usalama ataondolewa alafu inakuwa kweli! Aise waafrika ni wajinga sana
Ndo uwezo wako wa akili umeishia hapoMjinga wewe mwenyewe
KATIBA MPYA IKO NJIANI.Hata mimi nimeiona Leo na wakati inapostiwa ilikosa wachangiaji kabisa. Yametimia na yaliyobaki napigia mstari KATIBA MPYA
OkNdo uwezo wako wa akili umeishia hapo
Ni mtu mwenye connection na watu wa karibu na mama bila shaka. Mimi naombea tu kuanzwa kwa huo mchakato wa Katiba Mpya.Oya wadau hii kitu ilipostiwa December 2 mwaka 2022 halafu yametimia.. huyu aliyepost yeye ni nani?
Halafu hii post ndio naiona leo asee