DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya serikali yake.

Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.

Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.

Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Una maono wewe

Bado kumng'oa PHD Mwigulu tu
 
Aisee. Kunywa castle lite mbili. Nitalipa
 
Utata ni kuwa huyu jamaa aliyepost ni nani, bila Shaka atakuwa ni mtu wa cybercrime, kuna mwamba pia alishawahi kupost humu zamani Sana kipind cha JK kuwa Rais atakayefata ni Magufuli Ila hatafika 2023, badala yake atatawala mwanamke na yeye sijui ataishia wap wapi... Halafu jamaa alipotea mpaka Leo, Uzi wenyewe sijui JamiiForums walipita nao
 
Back
Top Bottom