Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Huwezi kutambua kila jambo,

Huna tofauti na mtoto anayeamini taasisi zote zina uozo isipokuwa jeshi tu,unasimama mbele za watu unaandika huu upuuzi.
Endelea kuona ni upuuzi kwa akili yako finyu Ila elewa hivyo usikalili
 
Wewe rushwa kwenye jeshi la polis haiondolewi na mtu, mfumo wa nchi ni kama umeruhusu. Askari ukimbana ategemee mshahara wa laki 3 au 4 ategeuka jambazi
 
Tatizo lipo katika uwasilishaji wa taarifa za kijasusi au wenyewe waita "Dissemination" ambapo hapo wahitaji mtu sahihi mwenye upeo (intelligence) na uwezo wa kuchambua (analytical abilities).

Nina imani kuwa watu hawa wapo na wateuliwe bila mihemko ya kisiasa.
 
Siasa ina nguvu sana, katika nchi yetu. chochote kinawezekana
 
Wewe unataka kuwaletea Kashifa tu wanajeshi wetu. Kuna taasisi zinatakiwa kufanyiwa mabadiliko ya kimfumo na sio Mtu. Usipobadili mfumo basi ujue hata apelekwe nani bado kutaleta shida tu. Angalia hata yule Jwtz aliyepelekwa TAKUKURU na kutenguliwa , Tatizo sio yeye bali ni Mfumo uliopo na muingiliano na mambo ya siasa. The guy himself is very Smart. Angalia kule MSD mkuu wa pale ni Jwtz lakini jamaa anapigwa majungu kupita kiasi sababu tu ya Smartness yake inanyima watu ulaji. Na siajabu ataondolewa.

Kwahiyo kumpeleka Jwtz Polisi au TISS nikutaka kumpa stress tu.
 
Na hizo sehemu hata uwe "smart" kiasi gani, huitaji "extra measures" ili kuziweka kwenye mstari.

Kama jamaa ataka kuboresha delivery system ya dawa pale MSD hiyo ni issue kwa wapigaji kwani dawa yapita juu kwa juu bila middlemen.

Kisha kuna checks and balances nazo hukufanya uonekane kauzibe.

Ila nchi yetu ina watu smart sana tatizo ni huo upigaji uswahili mwingi na siasa.
 
Sita saba sita saba mbona hujamtaja
 

U smartness wa DG wa MSD unaupima kwa kutumia nini ? Wanajeshi wengi wanaamini katika utii, Unless ueelezee maaana ya smart kwako ni nini ? Kama ni kashfa ya rushwa na yeye yumo, kama ni kashfa ya nepotism na yeye yupo kwa Taarifa za Msd . Ndio maana nimeuliza smartness yake unaipima vipi.

Au ni taasisi gani imeongozwa na mjeshi then ikafanya kitu ambacho raia wa kawaida wameshindwa kabisa ? Kwanza ni kuiba kazi za raia . Mtu ni mjeshi then unamuweka kwenye taasisi maana yake anakuwa na kazi mbili , hiyo kazi ya pili ni nafasi ya raia ambae yupo mtaani hana kazi . Hakuna kitu mwanajeshi amefanya nchi hii cha maajabu tena wengi wamefail na kusingizia raia.
Naungana na mdau kuwa shida sio individual , shida ni rotten system kuanzia Rais Mwenyewe hadi watu wake wote ni uozo na wote wanatakiwa kufanyiwa overhaul akiwapo rais Mwenyewe. Leo karne ya 21 tunagawana umeme huku tunasisitiza viwanda viwanda na kuuza umme nje , bado na still mtu anaguts za kusimama na kujitetea Eti mifumo ya zamani ilikuwa ni outdated na haikufanyiwa maboresho.

Enz ya JPM hatukuwa na shida ya umeme kiasi hiki . Hii nchi inatakiwa kuanza upya. Tatizo ni rotten system ya watesi,
Mtu kama Diwani ni mtu muadilifu sana, na Sio hata muongeaji lakini yupo kwenye rotten system ya watesi, na kwa uadilifu wake walimzunguka na kuchafua hali ya hewa .

Kwasasa wanataka kumtoa ili kuweka ile team yao , so wanakuja hapa na Vigezo vya hafai , na kumchafua fua, hii ni agenda maalum na assimilation policy ya kusafisha masalia yote ya Ngosha.
Ndio maana hii nchi haisongi mbele , kila anaeingia anaweka establishment yake.
 
50/50
 
Naona mzee mombo anarudi idarani rasmi, km itakua hv dah.kweli jk yuko vzr,
mombo ndo maana karudi toka brazil

Idarani kipindi cha jk
boss OR
naibu JZ
opp SM
Suzy kaganda a female IGP ni vyema wanawake ni waaminifu sana. Kamish Jenerali Makakala amefungua njia kwenye majeshi tuwajaribu.
 
Ukiwa unaitwa Mohamed au Athuman hata kama huna sifa,utateuliwa ktk nafasi yoyote.Tunakoelekea siyo kuzuri.Baba wa taifa alikuwa hapendi kabisa mambo ya udini na ukabila.
Unashindwa kujenga hoja unakimbilia udini??? Aliyekuaambia kila athuman ni muislamu ni nani??? Hovyo! Karne ya 21 wewe unahubir udini???
 
IIna mΓ ana mama amefikia hatua ya kumes up na JWTZ!!!?wenye nchi KWELI!!!?mi Siamini wakuu!!!
Jamani tunajua IGP mpya soon will be on air ila Wawalipe askari kwanza posho zao ni miezi miwili sasa mam amewapiga mwingi!!

[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni askari wetu!! Hasa JWTZ mungu awalinde
 
Kila sehemu tuna tatizo la mifumo, Nadhani tukubali sisi wenyewe watanzania ndio tatizo. Uelewa wetu,uwajibikaji, tunavyoandaliwa na elimu na jamii kwa ujumla.

Wengi wetu hatujui kuwajibika bila kuwaza kupata rushwa, kutenda haki bila shinikizo, kuwajali wenzetu hata kama tumewazidi elimu na vyeo. Angalia mishahara ya wafanyakazi viwandani tunaposifia kuna uwekezaji.

Ingependeza kama Mama pale Tiss atampandosha cheo mtu aliyekulia humohumo mimi naona hata Balozi Zoka anafaa sana. Na Mr. aAthumani akaenda hata Polisi kuwa IGP he is more competent kwenye upolisi zaidi than IS.
 
Naunga mkono hoja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…