kama yuko hivyo ni sawa. maana polisi kwa sasa mhh.....Uongozi ni kipawa na sio ukali pekee.
Ku sehemu ya kukemea
Kuna sehemu ya kusifia
Kuna sehemu ya kutia moyo.
Kiongozi lazima uwena sifa zote.
Mpole
Mkali kiasi
Mfariji
Mtia moyo nk
Hamduni ana kipawa hicho hana papara
kama yuko hivyo ni sawa. maana polisi kwa sasa mhh.....
Kwa umri wake na nafasi aliyofikia huwezi kumuweka pembeni.Diwani kwa nini asiachwe akamalizima muda wake hapo? Wambura akiwa IGP baada ya IGP Sirro kumaliza muda wake litakuwa jambo zuri binafsi na mkubali huyu mtu ni mtendaji mzuri anaye ongozwa na hekima.
Huyu jamaa amepitishwa sana akiwa afisa wa ngazi ya kati.kama yuko hivyo ni sawa. maana polisi kwa sasa mhh.....
Mimi naona hamna ubaya kwasababu hawa ndugu zetu kusema kweli wana utu. Unaona hamna uonevu sasa hivi. Ni msuguano tu wa hoja jamvini kulichangamsha jamvi kupata mawazo mbadala.Teuzi sahivi ni ajili ya waislamu mkuu
Kingai hajui PGO!Au Kingai😀😀😀
Mahiga alishawahi kuwa mkuu wa TISS?
Hii nafasi ni Hamduni ndo anachukua. Siku hizi kuna kautaratibu flani boss wa Tiss lazima apitie kwanza kuwa Boss wa Takukuru.
Naunga mkono kwa 100%IGP mpya anafaa Hamduni wa takukuru
Kitu kingine.Mimi naona hamna ubaya kwasababu hawa ndugu zetu kusema kweli wana utu. Unaona hamna uonevu sasa hivi. Ni msuguano tu wa hoja jamvini kulichangamsha jamvi kupata mawazo mbadala.
Cc Otterhound The Icebreaker Dalmine Mlolongo Kikwajuni One
Au Ramadhani KingaiApewe afande Swilla
Qn: Mal Islam?Mimi naona hamna ubaya kwasababu hawa ndugu zetu kusema kweli wana utu. Unaona hamna uonevu sasa hivi. Ni msuguano tu wa hoja jamvini kulichangamsha jamvi kupata mawazo mbadala.
Cc Otterhound The Icebreaker Dalmine Mlolongo Kikwajuni One
Apewe Afande KINGAI full stop!Suzy dadako tunalijua hili
Kwa nini IGP asiwe Wankyo?
Uko sahihi kabisaHizi nafasi wazitangaze watu washindane. Utakuta tumepata mtu mzuri sana ambaye hatukutegemea.
utendaji unaharibiwa na hizi kazi za kupeana.