Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Jamani tunajua IGP mpya soon will be on air ila Wawalipe askari kwanza posho zao ni miezi miwili sasa mam amewapiga mwingi!!

[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni askari wetu!! Hasa JWTZ mungu awalinde
mbona police tunapewa ?
 
Ukiwa unaitwa Mohamed au Athuman hata kama huna sifa,utateuliwa ktk nafasi yoyote.Tunakoelekea siyo kuzuri.Baba wa taifa alikuwa hapendi kabisa mambo ya udini na ukabila.
Hizi fikra za udini zinaharibu, tuwaze katika uwezo, Dini ufuatie
 
Sio roho mbaya tu na ni mshamba na limbukeni, kwa jinsi alivyo na majungu ni vyema akapelekwa kwa polisi wenzake.

Idara ilishamshinda muda sana, huwa najiuliza hadi sasa anafanya nini pale maana hajafanya mageuzi yoyote zaidi ya kuwa mbinafsi.
Angetakiwa afanye mageuzi gani ambayo sisi raia wa kawaida tungeyaona?
 
MMESHAMUHARIBIA KUMUANDIKA HUMU
 
mbona police tunapewa ?
Mmepewa lini ndugu [emoji23][emoji23][emoji23] wakati mwezi jana na mwezi huu mpaka leo hamjalipwa, na utaratibu unapoelekea ni kuwanywa kichwa kabisa [emoji38][emoji38][emoji38] mama anawapigia mwingi sana!!
Poleni
 
Kwani nchi imefika mahali gani?Kuwa muwazi mkuu.

Halafu kwa nini tunapenda kuangukia kwenye mikono ya satanists?Agenda ya kuweka women in positions of power ni demonic.Nia ya Shetani ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu ambayo ni kumfanya mwanaume awe kiongozi na mwanamke awe msaidizi every where,starting with the family. Satan also wants to put Women in positions of power because they are easy to control,manipulate and cheat.What Satan did at the Garden of Eden is still going on today through Women.

Let me clear,hili wimbi la wanawake kuwa viongozi wa juu kitaifa is a disaster for the Nation as a whole and the families involved.Tunaweza tukashupaza shingo leo na kudhani ninachosema ni porojo,lakini ukweli utakuja kudhihirika when enormous damage has already been done.Satan is very smart and 24/7 at work.
 
Hizi fikra za udini zinaharibu, tuwaze katika uwezo, Dini ufuatie
Kuna vijinga hapa JF kutwa ni kulalama udini na ukabila. Yani vikiona teuzi tu vinawahi kwenye jina la kwanza kuhakiki dini, baada ya hapo wanamalizia kwenye Ubini kuhakiki kabila

Wakiona
Athuman Idd Kishazi utasikia... mwislam
Deus Ismail Urio ... utasikia mchagga huyo
Zawadi Mtuwamungu Kaganda... Mhaya nshomile
Issa Ramadhan Issa ... Mpemba, mwislam
Mrisho Mwegole Kamusi... Mkwere, Kikwete huyo..

Yani tabu tupu
 
Mtu anayehusisha kila kitu na nguvu za gizs huwa namwona somewhere hayupo sawa kichwani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…