Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Mpuuzi wewe kwahiyo watanzania wenye uwezo ni waislamu pekee? mhate dingi ako na siyo mimi
Uislamu comes second..first ni huyo anayepewa nafasi, ana uwezo gani? Tusidanganyane hapa na hadithi zenu za kufikirika za kubalance dini na makabila serikalini. Ndio mambo yanayolea uvivu, wizi na majungu yasiyoisha.

Ikibidi tuwe tunaajiri hata foreigner with competence. Sisi wenye nchi yetu tuendelee kupiga soga JF.

Botswana iliendelea sababu kama hizi za kuamua kuleta wenye uwezo wa kufanya kazi na kuachana na nyie kina nshomile na hatuoni mnachofanya
 
Uislamu comes second..first ni huyo anayepewa nafasi, ana uwezo gani? Tusidanganyane hapa na hadithi zenu za kufikirika za kubalance dini na makabila serikalini. Ndio mambo yanayolea uvivu, wizi na majungu yasiyoisha.
Ikibidi tuwe tunaajiri hata foreigner with competence. Sisi wenye nchi yetu tuendelee kupiga soga JF. Botswana iliendelea sababu kama hizi za kuamua kuleta wenye uwezo wa kufanya kazi na kuachana na nyie kina nshomile na hatuoni mnachofanya
Waislamu wanafanya nini sasa kwa akili zako?
 
Angepewa huyu mwamba sema tu kastaafu

maxresdefault.jpg
 
Diwani kwa nini asiachwe akamalizima muda wake hapo? Wambura akiwa IGP baada ya IGP Sirro kumaliza muda wake litakuwa jambo zuri binafsi na mkubali huyu mtu ni mtendaji mzuri anaye ongozwa na hekima.
Haiwezekani Wambura kuwa IGP wanatoka sehemu moja na Sirro.labda kwa baadae.
 
Akiteukiwa Kaganda wataanza kusema Watoto wa Wakubwa tu ndo wanateuliwa maana Mama yake alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa na Mwnykt wa Tume ya Maadili
Kale kichwani hakuna kitu.

Ujue vitoto vya wakubwa vingi ni programmed,hakana upeo wa kuchakata mambo magumu.
 
Sio roho mbaya tu na ni mshamba na limbukeni, kwa jinsi alivyo na majungu ni vyema akapelekwa kwa polisi wenzake.

Idara ilishamshinda muda sana, huwa najiuliza hadi sasa anafanya nini pale maana hajafanya mageuzi yoyote zaidi ya kuwa mbinafsi.
Diwani hafai kwa lolote
 
List isiyo na Kingai haifai hii
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)

Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.

Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.

Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;

Emilio Mzena (1961 to 1975),

Dr Lawrence Gama (1975-78)

Dr Hassy Kitine (1978-80).

Dr Augustine Mahiga (1980-83)

Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).

Apson Mwang'onda (1995-2005)

Othman Rashid Othman (2005-2016).

Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)

Diwani Athuman (2019-2022)

MY TAKE;

Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom