Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Uislamu comes second..first ni huyo anayepewa nafasi, ana uwezo gani? Tusidanganyane hapa na hadithi zenu za kufikirika za kubalance dini na makabila serikalini. Ndio mambo yanayolea uvivu, wizi na majungu yasiyoisha.Mpuuzi wewe kwahiyo watanzania wenye uwezo ni waislamu pekee? mhate dingi ako na siyo mimi
Ikibidi tuwe tunaajiri hata foreigner with competence. Sisi wenye nchi yetu tuendelee kupiga soga JF.
Botswana iliendelea sababu kama hizi za kuamua kuleta wenye uwezo wa kufanya kazi na kuachana na nyie kina nshomile na hatuoni mnachofanya