MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Prishaz ndugu yangu wa nguvu, heri ya mwaka mpya kwako pia. Mimi nakuombea fanaka na heri 2023 ili tuendelee kukaa wote kushuhudia ujenzi wa Babeli...Malcom heri ya mwaka mpya rafiki nimefurahi kukuona 2023 Mungu ni mwema....ngoja tukae hapa kwa Diwani wote...[emoji173]
Kwanini Mkuu? mbona ana vyeo viwili bado ili kumfikia IGP,kama kumbukumbu zangu ziko sawa, nadhan diwani aliwahi kuwa naibu wa IGP kama sijakosea vizuri, and kwa cheo chake cha sasa kusema akawe chini ya IGP mmh ngumu sana
i think anaweza kwenda kuwa Balozi
Ogopa sana nchi inapokuwa na hali hiyo ya sintofahamu.Hawa wakuu wa hiki chombo miaka ya karibuni wamelambishwa sana sakafu sababu ya kutosimama kwenye msingi wa kile taasisi imepangiwa kufanya.
Wanafanya kazi kwa upepo wa wanasiasa, Mwisho wa siku zigo la misumari linawadondokea wao.
Inawezekana nni yeye amekataa uteuzi.Ukifikiria kafanya kosa gani ndani ya siku mbili unakosa..tuambiwe ili tujifunze
Lkn si imeingia kwy CV tayari?Mbona fasta?
Kwani kukataa nishingapi?Uwezo wa kukataa hana! Yeye mwenyewe hiko analijua, labda kama hajipendi.
Diwani bado ni POLISI, anaanzaje kumkatalia Commander In Chief.
Kwanini Mkuu? mbona ana cheo kimja bado ili kumfikia IGP,
Nazungumzia cheo cha Muundo wa Jeshi la Polisi na sio vya uteuzi
kwa nini mumemkomalia hivi jamani?Bado kassim Majaliwa tu
Kwani yeye ni wa kwanza?Kwani kukataa nishingapi?
Nahuyo mtenguliwa mwenyewe anasemaje?
Ndio maana nilikutaka kusoma vyema mstali kwa mstali na kwa utulivu bila jazba
Ila kama hujaona basi siwezi kukulazimisha uweze kuona
Wahuni ao Fobiakwa nini mumemkomalia hivi jamani?
haumjui mama, kishasema yeye hataki chawa mwache aiponye nchi:Maza amemwaga MBOGA , sasa Diwani Athumani anamwaga UGALI
Labda aliigomea kiaina ile decision ya kumdemote na mwenye mamlaka akazisikiaUkifikiria kafanya kosa gani ndani ya siku mbili unakosa..tuambiwe ili tujifunze