Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Sawasawa
 
Hili jambo ungemuhoji mtoa mada na sio mimi.

Mi mwenyewe nimehoji kama anaweza kugome kusarenda mawasiliani si anajitafutia kuwa neutrolized
 
Katiba ndivyo inavyosema?

Diwani sio wa kwanza kuukataa uteuzi!

Hata Chegeni pia aliukataa uteuzi wa kuwa RC.

Huwa wanakataa kwenye mchakato wa uteuzi. Lkn siyo uteuzi uliokamilika, yaani baada ya kuapishwa.
 
Nadhani hii ya kuwatupa ubalozini ni very poor approach maana inaua ile dhana nzima ya kuwa na mabalozi competent, ndiyo maana hatupigi hatua kwa sababu balozi zinajaa wastaafu au waliotenguliwa..
 
JPM alipoingia madarakani aliipangua safu yote ya mtangulizi wake hakukua na kelele wy huyu wa sasa alipanga safu yake kelele zinakua nyingi?
 
Hivi mkuu kutoka DGIS mpaka Chief of staff ni demotion kweli?[emoji848]
I think there must be something wrong au mama alipanga amshushe kiaina bila kelele.
Labda ungesema katibu mkuu kiongozi but kwa hiyo aliyopewa siyo..
 
Yaani mtu mmoja aisumbue kichwa system [emoji23][emoji23] ninachokiona kwako Kuna vitu unatamani vitokee ila utasubiri sana
 
Kwa sababu wengi wenu huwa mnawaza ndani ya Box...siwezi kukulaumu.

Ila sidhani kama unaelewa idadi ya vikao haramu,vinavyoitishwa mahoteli makubwa makubwa kila siku,wakati wengine tumelala!

Wewe unadhani unailelewa mitandao yote nchi hii?
Acha mawazo ya uasi
 
Hana ubavu wa kukataa uteuzi. Hamna siri zozote zaajabu anazojua。kama umeme tu tunatumia wa mabwawa, panadol tunaagiza nje, hatujaanza hata kuzalisha vitu wenyewe. Hamna jambo la ajabu analojua
 
Kuna DC aliwahi kukataa uteuzi, nimemsahau jina tuu..
 
Mbona wewe umejenga dhana isiyokuwepo kwamba kakataa uteuzi na wakati taarifa rasmi ni kwamba uteuzi wake umetenguliwa? Halafu mbona unatamani sana kutokee uasi? Maana nyuzi zako zote Zina mwelekeo huo
 
JPM alipoingia madarakani aliipangua safu yote ya mtangulizi wake hakukua na kelele wy huyu wa sasa alipanga safu yake kelele zinakua nyingi?
Nafikiri kitendo cha kulazimisha iwe awamu ya sita na sio ya tano kikatiba ndio kitaisumbua nchi sana mpaka kufika 2025
 
Staff yeyote wa Serikali akifanya makosa ya kinidhamu kwa kukiuka maadili ya ajira anafukuzika na kushitakiwa bila shida yoyote. Ref: Sabaya Ole Lengai ni Tiss lakini anasoteshwa kinyama.
Tiss wa mchongo labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…