Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

..lakini sio mara nyingi na kwa uzembe kama sasa hivi.

..baada ya uteuzi wa yule kijana uvCcm kuwa DG wa Tpdc ungetegemea wawe waangalifu zaidi.

..wakuu wa usalama wakiondolewa huwa wanakuwa mabalozi au wakuu wa mikoa.
Mkuu hebu tupe na uzoefu kwa wenzetu huko majuu, nao wakitenguliwa huwa mabalozi? Mimi naona tunaitumia vibaya sana hii nafasi ya ubalozi..
 
Mtafungasha moja baada ya mwingine...Dunia Kijiji
 
Je wakuu wa usalama wa zamani na wa sasa wanafanana kiutendaji?
 
Ndio faida ya kuwa na wazee humu ndani,

Ila sasa mnajishushaga heshima na nyuzi zenu za kula kimasihara🤔🤔🤔🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Je wakuu wa usalama wa zamani na wa sasa wanafanana kiutendaji?
Don't know.

Lakini kwa maendeleo ya sasa kwenye technology, elimu na exposure nategemea watendaji wa sasa wawe wazuri kuliko wa zamani. Labda kama wanashindwa kwenye maeneo mengine i.e. leadership, integrity etc.
 

Alitakiwa astaafu kwa manufaa ya uma, maisha yaendelee.
Hiyo ndiyo iliyokuwa njia rahisi na ya heshima na maelewano kumbadilisha.
 
Nakwambia hakuna kitu kama hicho Samia is there to stay mpaka 2030 niko pale

Hii ni ccm mkuu hakuna mkate ngumu mbele ya chai🙏🙏
 
We acha hiyo .... Bongo wanakaaga tangu lini?

Huo uteuzi ulikuwa ni namna tu ya kumuondoa ofisini kimahesabu .... Wenyewe wanaiita "Horizontal Drop"
Siyo vertical drop kama ngedere akiyekosea mahesabu ya kuruka from tawi moja kwenda lingine? [emoji12] [emoji12]
 
Awe msomaji kama mimi😂
 
SI ajabu kukata uteuzi.hata wakati magufuli Kuna jamaa huko mwanza kutoka kampuni ya simu alikataa.
Labda nafasi aliyoshika ndio inaleta maswali
Yule ni Sikonge huko, siyo Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…