misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kwani ajatulia?Na mimi nitakufa lakini sasa hivi aliyemteua hayupo, atulizane!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ajatulia?Na mimi nitakufa lakini sasa hivi aliyemteua hayupo, atulizane!
Ungefuatilia kashifa ya kitambulisho namna ilivyomalizwa, ndipo nilipoamini.
Mkuu hebu tupe na uzoefu kwa wenzetu huko majuu, nao wakitenguliwa huwa mabalozi? Mimi naona tunaitumia vibaya sana hii nafasi ya ubalozi....lakini sio mara nyingi na kwa uzembe kama sasa hivi.
..baada ya uteuzi wa yule kijana uvCcm kuwa DG wa Tpdc ungetegemea wawe waangalifu zaidi.
..wakuu wa usalama wakiondolewa huwa wanakuwa mabalozi au wakuu wa mikoa.
Mtafungasha moja baada ya mwingine...Dunia KijijiSijui hua akipewa jina au ushauri hua anameza tu au anatafakari na kuuliza maswali?
Diwani amefanya kazi nzuri sana awamu ya tano. Leo hii unakuta mbowe na genge lake ndio wanataka atoke TISS na mama anakubali na kumshusha hadhi.
Uongo wa akina mbowe umekolea hadi kiongozi dhaifu wa ccm anaamini.
Ccm haijafanya kosa kuwashinda kabisa chadema kwenye uchaguzi mkuu 2020. Wananchi waliona kile kinachofanywa na ccm ya magufuli na kuipa ccm kura karibu zote.
Inshu jinsi ilivyomalizwa sio sababu ya yeye lengai kuwa ni tiss,yule alikua kanjanja tuuUngefuatilia kashifa ya kitambulisho namna ilivyomalizwa, ndipo nilipoamini.
Je wakuu wa usalama wa zamani na wa sasa wanafanana kiutendaji?Siku hizi Wakuu wa Usalama wameshawekwa mfukoni ..... Wanabadilishwa same as \Wakuu wa Wilaya na Mikoa.
Those days it was almost unthinkable .... mpaka wanaretire ndiyo wanatoka madarakani. Lakini this time around ndani ya miaka 5 Wakuu wa Usalama 4 .... Tatizo liko wapi!!?
...Ndio hivyo katumbuliwa, ili akose vyote!![emoji848][emoji848]Kwahiyo akikataa demotion ndo anabaki na nafasi ile ile?
Ndio faida ya kuwa na wazee humu ndani,Apson, Kombe, na Rashid wamestaafu at full term!, Kipilimba, na Diwani ni wameondolewa kabla ya full terms. Full terms za constitution officers ni 65 years.
Hawa ni Rais wa JMT, Spika, Jaji Mkuu na Majaji Rufani, CAG, CDF, Gavana wa BOT, Wenyeviti wa NEC, Maadili, Msajili vyama, CS na Staff Officers, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi.
Kama wakati wanateuliwa kushika wadhifa huo, watakuwa na umri wa chini ya miaka 50, then full term yao ni two terms za 5 years then wanastaafu kwa mujibu wa katiba.
P.
Don't know.Je wakuu wa usalama wa zamani na wa sasa wanafanana kiutendaji?
Mkuu
Hivi aliemshauri Hii move ni Nani!?
Aliemwambia toa diwani weka pale ana MALENGO gani haswa KWA awamu HII!!?
Yaani Lengo lake ni kujenga au kubomoa!?
Na kama ni kujenga ni kujenga mtu au Taifa!?
Kuna mtu anamdanganya mwenye mamlaka Ili kuleta mogogoro Fulani KWA MASLAHI Binafsi!!
Au ndio system inamchezesha michezo fulani MWENYE mamlaka na yeye anashindwa kuielewa!!?
Kwanza walimuingiza chaka kwenye kutangaza nia ya kugombea 2025,sasa wanamchanganyia mafaili kwenye uteuzi yaani teua tengua!!
Kuna mtu anafunga magoli dakika ya 90 halafu haonekani!!
Hivi niguse ninuke Yuko WAPI!!?
Simuoni siku hizi mitandaoni!
Wewe unadhani watu wote ni tepetepe kama ulivyo wewe?Hana ubavu wa kukataa uteuzi.
Nakwambia hakuna kitu kama hicho Samia is there to stay mpaka 2030 niko paleMkuu
Hivi aliemshauri Hii move ni Nani!?
Aliemwambia toa diwani weka pale ana MALENGO gani haswa KWA awamu HII!!?
Yaani Lengo lake ni kujenga au kubomoa!?
Na kama ni kujenga ni kujenga mtu au Taifa!?
Kuna mtu anamdanganya mwenye mamlaka Ili kuleta mogogoro Fulani KWA MASLAHI Binafsi!!
Au ndio system inamchezesha michezo fulani MWENYE mamlaka na yeye anashindwa kuielewa!!?
Kwanza walimuingiza chaka kwenye kutangaza nia ya kugombea 2025,sasa wanamchanganyia mafaili kwenye uteuzi yaani teua tengua!!
Kuna mtu anafunga magoli dakika ya 90 halafu haonekani!!
Hivi niguse ninuke Yuko WAPI!!?
Simuoni siku hizi mitandaoni!
Siyo vertical drop kama ngedere akiyekosea mahesabu ya kuruka from tawi moja kwenda lingine? [emoji12] [emoji12]We acha hiyo .... Bongo wanakaaga tangu lini?
Huo uteuzi ulikuwa ni namna tu ya kumuondoa ofisini kimahesabu .... Wenyewe wanaiita "Horizontal Drop"
Ni TAARIFA za kweli Diwani Athumani aliyeteuliwa KUWA katibu mkuu Ikulu ametenguliwa na hajapangiwa nafasi NYINGINE anarudi kwao kulima.
Kwema?nakutafuta wewe
Awe msomaji kama mimi😂we mambo yako mengi ni ya kudhania na kusadikika. Nani kakuambia Chegeni alikataa uteuzi. Mbona una akili ndogo km K ya mjusi? Una shida gani kijana? Hakuna anayeweza nchi hii kukataa uteuzi wa Rais, elewa hivyo acha kujitungia mauwongo yako we pimbi. We huna unalojua kaaga kimya na jikubali kuwa uwezo wako ni mdogo sana kujadili mambo hayo.
Hebu funguka mkuuTangu kaka yake Diwani kuuwawa kwa kuchomwa mshale kwenye mgogoro wa ardhi amepoteza focus sana. Kifo cha kaka yake kimemuuma sana
I wish huyu Kaganda one day awe IGP aisee...Diwani kwa cheo cha muundo ni CP Kamishna wa Polisi na sio peke yake wapo akina WP. Kaganda na wengine anaweza kuwa na Naibu IGP kama ambavyo huko nyuma Magu aliundaga hicho cheo kimchongo baadae kikafa natural death
Yule ni Sikonge huko, siyo MwanzaSI ajabu kukata uteuzi.hata wakati magufuli Kuna jamaa huko mwanza kutoka kampuni ya simu alikataa.
Labda nafasi aliyoshika ndio inaleta maswali