Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Acha kutupigia kelele! Watu hawajaanza kuawawa wakati wa Magufuli banah! Au akili mmexipata juzi baada ya uchaguzi wa 2015?
 
Diwani bado ni polisi?ni kwa nini hakumrejesha huko polisi?
 
Kwani wakati wa ule uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu alikuwa DGIS alikuwa nani ?

Je wakati wa Sakata la Jemadari Tundu Lisu jaribio la kuuawa alikuwa DGIS ni nani?
 
Akili zako fupi kama ulivyo
 
Usimnyanyase mtu kwenye mawazo yake na kumbukumbu zake kigezo cha Akili nyingi ni kuwa na tekinologia kubwa Duniani na sisi Africa bado tunahangaika na uteuzi tengua teua matokeo yake yatakuja yale ya marehemu General kombe
 
Mleta mada bana, Ni vema mkatambua kuwa kila zama ina watu wake na mambl yake, unadhani waliomuondoa Diwani hawakuwaza yote unayoandika hapa??

Unadhani unaweza pambana na mfumo?

Yaaani mkuu umeshiba ugali, ukajiaminisha kabisa suala la kumuondoa DGIS limefanyika kwa kukurupuka?

Kwamba wewe ndio unaakili za kufahamu Impact yake kuliko waliofanya hayo maamuzi!

Mkuu, Urais ni taasisi flaan kuuuuuubwa mno. Anaekaa kwenye kiti cha Urais hajiongozi mwenyewe katika maamuzi!

BTW unataka kutuaminisha kuwa bwana Diwani ni smart sana kuliko wengine,

Kaeni kwa kutulia sana, kila kiongozi na mambo yake!
 
Siyo kweli huu uzushi wako bakia nao huko huko ulipo
 
Siku hizi CDF mkuu mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama ndiyo mwenyekiti wa jopo la ujasusi na yeye hupata taarifa nyingi na ukumbuke yeye ana ndege za kivita vifaru makombora usimweke level ya IGP na hao wengine
 
Watu wanapiga maneno maneno tu hapa, wanadhani the Presidency ni kitu cha mchezo.

Alisema Salmin Amour, "Chezea ndevu, Usichezee Dola", mtu kama Diwani atakuwa wa kwanza kujua kuwa Dola haichezewi na mtu yoyote.
Kapilimba alitenguliwa semblance yeye
Siri zote wamezifuta hana kitu tena
 
Kiongozi wao waliokuwa wanamuabudu aliishia wapi baada ya system kumkataa?
 
Nadhani kwa Post hii, mtoa mada amejiona hana anachojua. Ahsante sana mkuu
 
Kwani watu walianza kutekwa kuanzia kwa Diwani?Kibanda alitekwa na kutobolewa macho,Kubenea alitekwa na kumwagiwa tindikali,Olimboka alitekwa kaja kuokotwa mabwe pande akiwa mahututi, Sengondo Mvungi alipigwa mapanga nchana kweupe watu wakachua raptop hao wote ni wakati wa Jk,afisa usalama alikuwa Zola.Sema mnamchukia Diwani kwasababu alidhibiti vikundi haramu vya uhasi kule mtwala na upinzani uchwala uliokuwa umejipanga kuleta gasia wa Magufuli.
 
Sema nyie watu ni wakatili sana asee hivi nyie ni binadamu kama sisi kweli? Mtu akitofautiana na wewe kimtazamo unamuona adui unampa zawadi ya mateso na kifo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…