Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Mavi ya kuku. Hivi nani mwenye uthubutu wa kukata Appointment ya Raisi baada ya kuteuliwa. Tena on a very sensitive and high profile post like this?!!!.
Wewe na ukisabengo wako ndio unaona ni high profile... you don't take it with its responsibility...

It's just sht doesn't add up....
 
Kachomoa betri
 
You nailed it. Kama kuna mtu hataelewa basi alijipanga kutokuelewa au hajui anachokiongelea.
 
Kuna sababu za kukataa uteuzi ambazo zipo kwa taratibu na sio kila sababu in kubarika
Je, kugomea teuzi ni uhaini kama ulivyodai hapa au uliropoka tu?

Tafuta kosa jingine, kuna makosa mengine kabisa kwa 'afisa' kutotii mamlaka ila sio uhaini, msijenge utaratibu wa kujiropokea tu.
 
Kiukweli kumtoa mtu kwenye position ya DGIS na kumwacha popote nchini is a mistake!. Position stahiki kwa DGIS mtumbuliwa ni kumpeleka ubalozini. Rais nae ni binadamu na sio malaika, hivyo anaruhusiwa kufanya human mistakes. Hili nililizungumza hapa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Kuhusu hizi appointments nyeti na very strategic tusimwachie mtu mmoja tuu, she is human hivyo sometimes human mistakes caused by human weaknesses zinaweza kutokea ukajikuta unamtumbua mtu mzuri kwa issues ndogo tuu zikingine za ... Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…