Yalianzia kupiga kelele Yale mapaka, wengine wakisema ni tausi!!!Huyu mwamba atakuwa amekataa huu uteuzi....
Naamini yalikuwa yanasema Hapanaaaaaaaa!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalianzia kupiga kelele Yale mapaka, wengine wakisema ni tausi!!!Huyu mwamba atakuwa amekataa huu uteuzi....
Ulijua kwa mumeo tu?He,,, na huku tena!!
Wewe na ukisabengo wako ndio unaona ni high profile... you don't take it with its responsibility...Mavi ya kuku. Hivi nani mwenye uthubutu wa kukata Appointment ya Raisi baada ya kuteuliwa. Tena on a very sensitive and high profile post like this?!!!.
Ubalozini labdaAnaenda wapi sasa,au anapelekwa kuwa katibu kata?
Hayo si mambo ya Magufuli tena!Hana jeuri hiyo. Atawahishwa kwenda kwa Baba kama kachomoa
Nipe location nikausome japo nina AbcdHuu uzi umekaa kimitego sana. Kuna uzi nimeufungua ufuatilie, unahusiana na kiapo cha utii kwa Rais
Soma tena para ya pili, utaelewa tuUmekimbilia haraka sana kwenye umri, hilo kwangu kwa sasa halina maana kulizungumzia.
Turudi kwenye hoja ya msingi, Yeye DGIS kugomea teuzi ni uhaini?
Kachomoa betriKawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
View attachment 2469861
Mama anacheza karata zake kwa umakini sana.Hapa Rais nampa 100% congratulations President
Spy Hawa wanaotenguliwa wanatakiwa kwenda kwenye barozi setup nje kusaidia kuiba technology na mambo mengine mazuri ili kuyaleta nyumbani..
Pia haikuwa sahihi hata kidogo Diwani kubaki Ikulu !!
You nailed it. Kama kuna mtu hataelewa basi alijipanga kutokuelewa au hajui anachokiongelea.Umejuaje kama aliwahi kulima au umejuaje kama yuko interested na kilimo sasa hivi. Diwani pale Magu alipofariki alijua kabisa kile cheo hakai, surprisingly amekaa kaa kidogo tofauti na uzoefu wa medani ulivyoonyesha. Haijamshtua wala haijawashtua wenye medani yao kama alivyoondoka Modestus Kipilimba.
Na kwa common sense hapo ikulu huo ukatibu alikuwa amepewa kama stopgap
Haaaahaaaaa..lete uthibitishoJamaa kakaza, anataka ubalozi ndio hadhi yake.
Hivi wewe na unayemjibu Nani mvuta bangi? Unadhani uteuzi wa rais ni sawa na wa babako kuwa mjumbe wa mtaa?Kukataa teuzi ni uhaini? Unavuta bangi?
Kuna sababu za kukataa uteuzi ambazo zipo kwa taratibu na sio kila sababu in kubarika
Kiukweli kumtoa mtu kwenye position ya DGIS na kumwacha popote nchini is a mistake!. Position stahiki kwa DGIS mtumbuliwa ni kumpeleka ubalozini. Rais nae ni binadamu na sio malaika, hivyo anaruhusiwa kufanya human mistakes. Hili nililizungumza hapa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaKawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
View attachment 2469861
Nakubaliana na wewe 100%.Ninyi vijana wa 90s, hamjui kuna kazi unaolewa mpaka kifo.
Kwa wadhifa aliokuwa nao Diwani must be UNDER total control, or neutralised.