Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Huyu Diwani **** madudu makubwa kayafanya ajiangalie. Soon atapelekwa selo.

Kuna 'mole' anampa mama faili moja baada ya jingine, la maovu ya Diwani.
Awepo 'mole' alafu apeleke taarifa kwa Samia? Sasa huyo sio mole ni agent na anachokifanya ni kazi yake, mole ni yule jasusi wa organization fulani kajichomeka kuajiriwa kwenye taasisi nyingine ya intelligence. Utawakuta Wanyarwanda hizi nchi za EAC wanareport kwa NISS, ndio moles hao
 
Umetaja uhaini na upo katika katiba basi onyesha wapi katiba inasema kukataa uteuzi wa Rais ni uhaini. Yule jamaa wa kampuni binafsi aliyekaa ukuu wa wilaya sijui uDED kipindi cha Magu si aliendelea na majukumu yake.
Umeanza vizuri hoja yako lkn umemalizia vibaya.

Kazi nyingine ndiyo zina hizo options z a kukataa uteuzi kkn siyo za vyombo vya ulinzi na usalama bosi. Uko hapo nyonyo?
 
Yaani kweli wewe ndio pimbi, Nani amekwambia Chief of staff anaripoti kwa boss wa majasusi? If you have never been part of corridors, don't talk anything. Kwakukisaidia anaripoti moja kwa moja kwa anayekalia kiti kikuu fala wewe
 
Siku hizi Wakuu wa Usalama wameshawekwa mfukoni ..... Wanabadilishwa same as \Wakuu wa Wilaya na Mikoa.

Those days it was almost unthinkable .... mpaka wanaretire ndiyo wanatoka madarakani. Lakini this time around ndani ya miaka 5 Wakuu wa Usalama 4 .... Tatizo liko wapi!!?
 
Nikija kuwa rais, hata siku moja sitoruhu ex DGIS abaki nchini, namchapa ubarozi australia, au aame yeye mwenyewe nchi, au na disconnect nyaya ya upuaji wake. Ni watu hatar sana kwa taifa wakiwa nje ya mfumo.
Kwa akili hizi Urais sahau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…