fuata utaratibu; unakosoa au kushauri wapi, sio kuropoka tu popote, huku kuna wajinga wengi sana!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia ina taratibu zake, ikiachwa bila kufuata taratibu itageuka vurugu, dawa ni kufuata taratibu mlizojiwekea, no more no less.
Sent using Jamii Forums mobile app
mmejazana huku wengi wenu mnauelewa mdogo sana, tofautisha demokrasia kati ya chama kimoja na kingine cha siasa, vipi wanatakiwa kutoa maoni yao, na demokrasia ndani ya chama, ambapo mnakuwa mnaongozwa na taratibu maalum, ukizikiuka, unaadhibiwa..Nyie watu vichwa vyenu sijui vimejaa nini ?
JIWE AKIWABANA NA KUBOBOKA KWENU NA ANAWAAMBIA KABISA HATA UHURU WA KUJIELEZA UNA MIPAKA hamtaki mnasema huo ni udikteta.
we kibuyu unadhani demokrasia ndani ya chama maana yake kila mtu aropoke tu!, tena nje ya vikao vya chama?! rudini shule msikimbilie jf.Badilisheni jina la Chama.
Toeni neno DEMOKRASIA.
Nalo litakuwa anguko la CHUKUA CHAKO MAPEMA.
we kibuyu unadhani demokrasia ndani ya chama maana yake kila mtu aropoke tu!, tena nje ya vikao vya chama?! rudini shule msikimbilie jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa na mpango wa kuondoka hata asingesubiri siku nyingine. Angetangaza hapohapo.Kasema hayo km gear y kuunga mkono juhudi. Sasa amewahiwa juu kwa juu aondoke salaama. Ungesikia tu kesho mimi naondoka naenda ccm
Kwahiyo hizo taratibu zipo upinzani wasipofurahishwa tu?Demokrasia ina taratibu zake, ikiachwa bila kufuata taratibu itageuka vurugu, dawa ni kufuata taratibu mlizojiwekea, no more no less.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangempa nafasi ya kujieleza/kujitetea na ikibainika ana makosa, basi angepewa tu onyo na si kumfukuzaDiwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge amefukuzwa uanachama kwa kosa la kukiuka kanuni na misingi ya uanachama wa chama.
Kufukuzwa Uanachama kunamfanya kupoteza hata Udiwani wa Kata ya Ngarenaro kwa sababu Diwani lazima awe na udhamini kutoka chama cha siasa.
Ikumbukwe kuwa Juzi kupitia vyombo vya habari, Diwani Isaya alimtuhumu vikali Mbunge Godbless Lema kuwa hajitambui na hajui majukumu yake kama Mbunge, Mwenyekiti wa Kanda na Mjumbe wa Kamati Kuu ambapo imesababisha chama kudhoofika na kukimbiwa na baadhi ya Madiwani wa Jiji la Arusha.
Kufukuzwa kwa Diwani Isaya Doita kunafanya awe Diwani wa 14 katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA aliyeondoka CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Ukitaka kusoma na kuangalia video ya tuhuma unaweza kugonga Link hii:
Link > CHADEMA Arusha ‘’kwafuka moshi’’; Godbless Lema aambiwa hajitambui na hajui majukumu yake
Barua ya kumvua uanachama
Video ya tuhuma kwa Godbless Lema
Kufukuzana hovyo maana yake ni nini? nani mwingine amefukuzwa? Kuunganisha unganisha mambo kisha unajipa majibu mwenyewe haiwezi kukupatia picha nzuri na sahihi kama matarajio yako. Mambo ambayo kinapitia Chadema Arusha hili wala halipaswi kuwashangaza kwa wanaoelewa na hata kufuatilia kwa undani kinachoendelea. Mwache akawasalimie aendako...Barua ya kufukuzwa (iliyoandikwa na Katibu Kata wake) imetoka baada ya video ya yeye kuwasema vibaya viongozi wa Chadema Arusha ( hakumsema Lema peke yake) kusambaa kwenye social media. Sasa mtu yeyote ataviunganisha hivyo vitu. Kama kuna sababu nyingine basi waliomfukuza wataweza kuitoa. Mimi sio mwanachama wa Chadema kwa hiyo siwezi kujua kwa uhakika kama aliwahi kuwasilisha tuhuma zake kwenye vikao vya kilichokuwa chama chake. Labda wewe utuambie. Kufukuzana ovyo ndiko kulikoonyesha kuwa CUF kuna matatizo. Nisingependa Chadema nao watumbukie huko huko. Lakini mwenye macho haambiwi tazama.
Amandla.......
Peleka upuuzi Lumumba!Kwa akili zako kubwa MKONO WA KUSHOTO wa mbowe ulitarajia uandikwe katika barua.
Peleka upuuzi Lumumba!
Mambo ambayo kinapitia Chadema Arusha hili wala halipaswi kuwashangaza kwa wanaoelewa na hata kufuatilia kwa undani kinachoendelea. Mwache akawasalimie aendako...
KASHACHELEWA KUFANYA BIASHARA YA UTUMWA...., November ndio watafanya nini?,Hata mfanyeje hakika Mtaendelea kuiogopa CDM mpaka mwisho wa Dahari.Walishakubaliana na diwani huyu jambo la aina hiyo? Umemsikiliza anavyoongea? Eti Diwani asiongelee Mbunge asiyejitambua. Subili Mwezi November Ndo utajua maana ya akili timamu.
Mbona mapovu tu ,vitisho vingiii, hakuna hata Point , Namna ya maongezi tu inaonesha muongeaji ni mkurupukoKwa Demokrasia ya Chadema, wakosoaji wakuu wa serikali ya CCM, madudu yao ndani ya Chadema hayaruhusiwi kukosolewa
Usiseme CHADEMA, sema wachaga kujifagilia. Kwani leo hii CHADEMA ina nguvu kuliko za CUF ya miaka ile?KASHACHELEWA KUFANYA BIASHARA YA UTUMWA...., November ndio watafanya nini?,Hata mfanyeje hakika Mtaendelea kuiogopa CDM mpaka mwisho wa Dahari.
Ushawahi kusikiliza hoja zake bungeni au ndio mwanakwaya wa Lumumba??Tangu lini ajue wajibu wake? Ni mtu anaishia kukariri vifungu vya Biblia na kuwasomea wapiga kura utadhani ni nabii! Ni mbunge wa wananchi. Wakristu na waislamu, FINITO!
Humusikia akizungumza lakini sijawahi sikia hoja yoyote! Siyo kila kinachozungumzwa ni hoja.Ushawahi kusikiliza hoja zake bungeni au ndio mwanakwaya wa Lumumba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Udhani mzee meko anakiogopa chama gani ?Usiseme CHADEMA, sema wachaga kujifagilia. Kwani leo hii CHADEMA ina nguvu kuliko za CUF ya miaka ile?