Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!

Pole kunywa maji upunguze stress! Mwaka huu mtaisoma namba!
 
Heri nawe umeliona hilo. Arusha hiyo migogoro ya madiwani na viongozi ni ya kutengenezwa na CCM kupitia njaa za wahusika tuu.
Lakini wakazi wa Arusha sio wa kuburuzwa tena na CCM kwa hila na uongo wao, hivyo katika uchaguzi ulio huru na haki CCM haiambulii kitu na wenyewe wanajua.
Sii Arusha tuu eneo kubwa la nchi CCM wanategemea hila na wizi tuu ili kupata uwakilishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuota!
 
Pole kunywa maji upunguze stress! Mwaka huu mtaisoma namba!
Wakuisoma mbona wanajulikana. Juzi nilimsikia mwenyekiti mmoja anasema kwa tambo " nimeongea na Rais wa Welidi benki atatupa hela ..."
Jana kaisoma namba kimya!! Na bado, Trump naye anakuja na block!
Arusha sio Dodoma au Lindi na Katavi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujifariji....!!
 
Majamaa hayajui chochote kuhusu Arusha, unamnunua mtu Arusha?! ningewaona wa maana kama wangewanunua waliomuweka huyo mtu kwasababu ndio wenye impact.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALI BANANGA HUYOOOO ANARUDI ZAKE KWA MA CCM
Vipi CHADEMA hawana kiongozi ambaye hajawahi kuwa mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga CHADEMA?

Nimeuliza hivyo kuwa sababu kila kiongozi wa CHADEMA akijiunga na CCM utasikia wanaCHADEMA wanasema tulijua tu atarudi tena CCM!
 
Inaonekana chadema palikuwa na udikteta mkubwa sana hivyo watu walikuwa wakiumia ndan kwa ndani

Sasa wamevumilia wamechoka wameona kama ni noma acha iwe noma

Mtu unaweza mfunga mikono, miguu na ukamziba midomo lakin huwezi huwez mfunga nafsi

Hata huyu jiwe wenu kuna siku watu watamchoka na wataona kama ni noma na iwe noma sasa

Watawala wa vyama na serikali waache udikteta
Mbowe acha udikteta, magufuri acha udikteta

Sasa mbowe kama kuwa tu mwenyekiti wa chama unakuwa dikteta mkubwa namna hiyo na siku ukiwa mwenyekiti/Rais wa nchi si itakuwa balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kurudi CCM ni Lazima ugombanishe CHADEMA, ndio wanakulipa na kukupokea?!
Ungejiuliza kwanza ilikuwaje CHADEMA ikampokea na kumpa uongozi? Ukilipata jibu sahihi ndiyo litakupa mwelekeo wa kujua jibu la swali lako!
 
Moja ya wanasiasa wanaopoteza muda huko CHADEMA Ni huyu bwana Ally Bananga,huwa najiuliza anafanya Nini huko???yaani eti kiongozi wake Ni Lema???Ally alitakiwa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi!!!bado hajachelewa,aluta continue.
 
Huyo siwezi kuwa na marafiki wanafki, nisiwe mnafki haijawahi tokea kabisa hiyo...Ally bananga ni kibakala anayetumiwa na alberto msando.

Msando anamlewesha kwenye bar yake, akishalewa anatoa siri zote za chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kumpa ''ngumi za uso'' Godbless Lema ndio mkajua ana urafiki na Alberto Msando?
 
Unasema niwabandikie taarifa ya kikao? Kwa nini wewe usibandike kama ipo?

Unasema Dhamana ya Udiwani itakoma nje ya CHADEMA wakati Bananga anakwenda kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu!

Ni kweli Watanzania sio wajinga kwa sababu kama watanzania wangekuwa ni wajinga, haina shaka kwa sasa CHADEMA ingekuwa chama tawala!

Nyie wapiga kula wa Arusha endeleeni kuwa na taarifa wakati huo huo CHADEMA ikiyeyuka Arusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…