Inaonekana chadema palikuwa na udikteta mkubwa sana hivyo watu walikuwa wakiumia ndan kwa ndani
Sasa wamevumilia wamechoka wameona kama ni noma acha iwe noma
Mtu unaweza mfunga mikono, miguu na ukamziba midomo lakin huwezi huwez mfunga nafsi
Hata huyu jiwe wenu kuna siku watu watamchoka na wataona kama ni noma na iwe noma sasa
Watawala wa vyama na serikali waache udikteta
Mbowe acha udikteta, magufuri acha udikteta
Sasa mbowe kama kuwa tu mwenyekiti wa chama unakuwa dikteta mkubwa namna hiyo na siku ukiwa mwenyekiti/Rais wa nchi si itakuwa balaa
Sent using
Jamii Forums mobile app