Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!

Moja ya wanasiasa wanaopoteza muda huko CHADEMA Ni huyu bwana Ally Bananga,huwa najiuliza anafanya Nini huko???yaani eti kiongozi wake Ni Lema???Ally alitakiwa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi!!!bado hajachelewa,aluta continue.
Huyu jamaa ni akili kubwa ,utashangaa passo kuvuta v8
 
WATU WASIO JULIKANA WAMESHA SOMA COMMENT YAKO WATA MPELEKEA MAGUFURI SHAURI ZAKO LOL
 
Vipi CHADEMA hawana kiongozi ambaye hajawahi kuwa mwanachama wa CCM kabla ya kujiunga CHADEMA?

Nimeuliza hivyo kuwa sababu kila kiongozi wa CHADEMA akijiunga na CCM utasikia wanaCHADEMA wanasema tulijua tu atarudi tena CCM!
NA WEWE HUYOOOO UNATETEA TUMBO LAKO
 
Siasa hazitaki hasira lakini kama una uchungu sana, go hang yourself!

Kama mimi ninahangaika sana na CHADEMA Arusha, wewe pia unahangaika na mada zangu!

Kwa kukusaidia, siyo kazi ya CCM kuitisha uchaguzi huru na haki bali ni kazi ya Tume ya Uchaguzi!

Hakuna wapuuzi wengine wa kuchezea zaidi yako kwa sababu mada inakuchoma mpaka unatoa povu!

Karibu sana na Uendelee kunifuatilia katika mada mbalimbali kwa sababu ninapata feedback kutoka kwako kama mada zangu zimewafikia walengwa!
 
Toka umehamia Arusha sasa Chadema Arusha watakukoma. Siku hizi nyuzi zako ni za Chadema Arusha tuu.
Au yule mlezi wa CCM Arusha (sina uhakika ni mzee au kijana) ndio kakupa jukumu hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu;
Ulinihamishia Arusha?

Mimi niko huku kijijini napata migebuka na kahawa huku nikiperuzi Jamiiforums!

Karibu upate migebuka na kahawa!
 
Bado unaendelea kupiga kelele?

Don't hate the player, hate the game!
 
Kwa upuuzi wako huu lazima mpuuzwe tu maana mtatupigia kura badala ya sisi kupiga kura .
Wacha Bananga agombee ubunge hata urais lakini kama mnamuingiza kwenye choko choko hizi ujue na ajue atagombea nje ya CHADEMA.
Sina haja ya kubandika mikutano yenu ya manunuzi kwa sababu hamna ubavu wa kuendeleza manunuzi yenu mnapojua kuwa taarifa zenu zimebainika.
Nawatakia kila la heri wakaunge mkono juhudi.
HATUDANGANGANYIKI HATUTETELEKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…