Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!

Kumtolea povu zuzu kama wewe ni jambo la kawaida sana, nikuulize tu, hivi zimebaki episode ngapi kwenye hiyo series yenu na hao Muungwana blogu ewe kibaraka mweusi?!

Hiyo Tume m/kiti wake anateuliwa na nani?! na kwa akili zako fupi unategemea afanye kinyume na matakwa ya bosi wake! we kweli bogus....endelea kuota CDM inayeyuka Arusha, unadhani barafu hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona sasa ulivyo mjinga unatoa siri za kikao chenu na huyo Bananga, kumbe naye anautaka ubunge Arusha Mjini!, kwa chama gani?! hii michezo hamuiwezi, inataka watu wenye akili, sio bogus like you and your fellows!

Nyie ndio mnaopeleka huo mgogoro wa kutengeneza CDM na huyo jamaa yenu nae ataondoka, hakuhitajiki kirusi, halafu kesho tena mje na diwani mwingine, itakuwa episode ya tatu I think!
too predictable!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bwege tafiti zinazoeleweka zinasema CCM ndio inayoshinda maeneo yenye wajinga wengi, sasa sijui huo utafiti wako wewe uliufanyia wapi!

Usijaze mipasho jf, andika facts!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kw
eli Cadema Arusha kunafuka moshi.

Waangalie wasije wakalana na kumalizana - Vita vya panzi - neema yakunguru
 
Hawana haja ya kuogopa tena kwa sababu kilichowapeleka kule kimeshapita na hakipo tena.
 
CHADEMA katika Jiji la Arusha kunafukuta moto wa kisiasa!

Tunauona moshi wa kisiasa na kilichobaki ni moto wa kisiasa kulipuka!

Je,moto ukiwaka utakiteketeza chama au utazimwa kabla haujaleta athari kubwa!

Muda utatoa jibu sahihi!
Kwenye chaguzi za ndani mwezi Desemba wamegawana mbao sana. Watu wanasubiri Bunge livunjwe tu hapo kesho kutwa wasepe!

Pamoja na CCM kuleta siasa za kibabe, CDM wenyewe wamegawanyika kwa maslahi binafsi.

Siandiki kwa kubahatisha.
 
Moja ya wanasiasa wanaopoteza muda huko CHADEMA Ni huyu bwana Ally Bananga,huwa najiuliza anafanya Nini huko???yaani eti kiongozi wake Ni Lema???Ally alitakiwa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi!!!bado hajachelewa,aluta continue.
Inaonekana ameanza kujielewa kama alikuwa anapoteza muda wake!
 
NA WEWE HUYOOOO UNATETEA TUMBO LAKO
Jifunze basi namna ya kuandika kwa ufasaha kabla ya kuanza kujifunza kujenga hoja zenye nguvu za hoja!

Elewa kuwa kuandika sentesi kwa herufi kubwa ni kupiga kelele! Ulichofakifanya hapa ni kupiga kelele zisizoeleweka!

Hili somo ulitakiwa uwe umejifunza katika darasa la nne!
 
Kiukweli Lema haiwezi kuiunganisha Arusha na mbaya zaidi wamempa na kanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichokuwa kinawaunganisha wanaCHADEMA katika Jiji la Arusha ni umoja wa bila madaraka na ulaji.

Baada ya kuchukua Jiji la Arusha na kuanza kuliongoza wamejikuta wanagongana kwenye kupata maslahi binafsi yatokanayo na uendeshaji wa Halmashauri ya Jiji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…