Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Ukute mchepuko unaishi mjini Kwa kuwekwa na huyo Mchungaji fake!

Yani ukute mahitaji ya mchepuko ya msingi yanatimizwa na huyo jamaa.
 
una uelewa kiasi gani mpaka usijue kama polisi wanafanya upelelezi?
Taarifa yao ya ugunduzi haijitoshelezi, nilidhani wewe umewaelewa vyema hasa kuhusu jibu la swali linaloulizwa na wengi

"Tangu Feb alipotoweka alihamia kwa huyo mdada?
 
Maskini atakuwa karogwa kwisha kazi!

Lakini anadai ni marafiki wa takriban miaka 10,


Mkewe asijali sana huenda Kwa tukio hili ikawa ndio mwisho wa mahusiano wa mume wake na huo mchepuko.

Lakini kuna kazi ya ziada ya kufanya mke na ndugu wa Muta ya kufanya kumuachanisha na huo mchepuko la sivyo siyo rahisi.

Huruma nyie jamani Mwanaume wa watu!

Hata akili alonayo itakuwa sio yake nakwambia!

Walioko karibu naye watakapomuuliza maswali utakuta anajibu upumbavu upumbavu tu !
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzaramo mchezo? Ukute amempa limbwata la kisasa, hachomoki kamweeeee.
 
Wanadamu wakitaka kukuchafua hakuna namna waweza kuwakwepa. Mutta ni chapombe miaka yote tangu mama yake yupo hai.
Hii ni picha tu kama la mkono wa baunsa ya Mch Gwajima.
Hapo ndo ninapoona miujiza mama yake alishindwa kumuombea mwanawe aache pombe.
 
Hii nchi sihami haki ya nani! Yaani hata uwe na stress vipi, ghafla tu unakuta zimeisha.
Bora umegundua Hilo bongo aondki mtu,Mara sarakasi bungeni leo Tena Ashura kampoteza muheshimiwa(mh)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengine kama huyo anapokuwa kwenye mahusiano na mchepuko kama huo hurogwa kiasi kwamba akiwa na mkewe home ufanisi wa tendo la ndoa unakuwa haupo kabisa!

Ukute mkewe amekuwa akimsitiri mumewe Kwa muda mrefu sana.

All over a sudden anakuja kusikia habari kuwa na mchepuko wa kudumu kwa zaidi ya miaka 10,

Imagine [emoji848][emoji848]

Na most likely atakuwa amezaa naye au hata kwa kubambikwa mtoto wa bwana mwingine!
 
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzaramo mchezo? Ukute amempa limbwata la kisasa, hachomoki kamweeeee.


Wala si uongo @ Mwanakwetu!

Yani hapo waache kazi wafanye kazi ya kumnasua huyo jamaa wasije wakampoteza mazima!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]

Usicheke nishawai kukutana nae mmoja. Aliniteka kweli kweli.

Nilikuwa napata pata hela kizembe kazini nikawa napenda sana kununua viwanja vya bei nafuu.

Sasa yeye mzaramo mwenyej wa dar ndie akawa ananishtua akiona kiwanja cha bei nafuu kama dalali vile,,, maana huko chamazi, mbande, chanika, kitunda , kivule kote ana ndugu zake.

Kama utani nikajikuta nimemnunulia na yeye kimoja.

Waswahili wa kike sio kabisa katika mahaba.. kwanza wana heshima vibaya mnoo hawaoni ishu kukupa shikamoo bwana wake kisa umemzidi 2 yrs tu

Usiombe ukutane na hawa mabinti waliocheza unyagoo.. binti mdogoo ila jitu zima na ndevu zako unadekezwaa kama mtoto. Akija geto sasa akapikaa hata chai tu unatamani isiishe jinsi ilivyo tamuu na viungoo kibao. Hanunui chakula chochote hata mkate. Yeye lazima apike mwenyewe. Mko wawili tu ila ataamka mapema apike chapati ili aandae chai. Wakati nje zinauzwa kibao

Halafu sasa mizinga yake midogoo.. nikimpa laki ananiona wa maana kwelii.. kumbe hiyo laki ukitoka na sister duu kwenda kiwanja tu inakatika masaa tu

Wekend vijana wenzangu jobs wanaenda viwanja samak samak ama elements . Muhuni najifungua na mzaramo wangu mpaka j2
 
Ni malegend tu,tena wale wabobevu ndio tunachomoka salama mbele ya majini kama haya,la sivyo huchomoi,unaweza kujitangazia umauti kabisa ili ndugu wasihangaike kukusaka.[emoji23]
Sasa nawee una u legend gan,? Hebu huko tena wee ndo ungefia kwenye mpododo huo. Umeona traaaaakoooo hilo? La kuombea mkopo IMF
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asante Mrangi kwa kazi nzuri ambayo kama bila wewe Jeshi la polisi kuanzia RPC na mkuu wa Jeshi la polisi wangechafuka kuwa huyo diwani katekwa na wasiojulikana kumbe yuko kwenye kifua cha malaya analia nipe nipe kingine nasikia nyege
Umejuaje Ashura ni malaya? Nyie takataka za mwendazake ni hovyo sana.
 

Attachments

  • IMG-20220524-WA0146.jpg
    IMG-20220524-WA0146.jpg
    33.6 KB · Views: 31
  • IMG-20220524-WA0148.jpg
    IMG-20220524-WA0148.jpg
    60 KB · Views: 30
  • IMG-20220524-WA0136.jpg
    IMG-20220524-WA0136.jpg
    39.1 KB · Views: 29
  • IMG-20220524-WA0109.jpg
    IMG-20220524-WA0109.jpg
    102.5 KB · Views: 30
  • IMG-20220524-WA0033.jpg
    IMG-20220524-WA0033.jpg
    68.4 KB · Views: 29
  • IMG-20220524-WA0069.jpg
    IMG-20220524-WA0069.jpg
    48.1 KB · Views: 32
  • IMG-20220524-WA0105.jpg
    IMG-20220524-WA0105.jpg
    37.2 KB · Views: 34
  • IMG-20220524-WA0104.jpg
    IMG-20220524-WA0104.jpg
    78 KB · Views: 35
  • IMG-20220524-WA0097.jpg
    IMG-20220524-WA0097.jpg
    85.2 KB · Views: 31
  • IMG-20220524-WA0095.jpg
    IMG-20220524-WA0095.jpg
    38.8 KB · Views: 29
  • IMG-20220524-WA0098.jpg
    IMG-20220524-WA0098.jpg
    43.1 KB · Views: 35
Wala si uongo @ Mwanakwetu!

Yani hapo waache kazi wafanye kazi ya kumnasua huyo jamaa wasije wakampoteza mazima!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie Ashura ana balaa mjini, eti rafiki wa miaka 10, mkewe anaujua urafiki wao?
Alilewa, vipi pombe zilipoisha kwan hakumpeleka kwao? Si rafk ake wa mda mrefu, means hata kwao anapajua.

Woiiiiiiiih Ashura kiboko ya wanaume malaya na wazinzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usicheke nishawai kukutana nae mmoja. Aliniteka kweli kweli.

Nilikuwa napata pata hela kizembe kazini nikawa napenda sana kununua viwanja vya bei nafuu.

Sasa yeye mzaramo mwenyej wa dar ndie akawa ananishtua akiona kiwanja cha bei nafuu kama dalali vile,,, maana huko chamazi, mbande, chanika, kitunda , kivule kote ana ndugu zake.

Kama utani nikajikuta nimemnunulia na yeye kimoja.

Usiombe ukutane na hawa mabinti waliocheza unyagoo.. binti mdogoo ila jitu zima na ndevu zako unadekezwaa kama mtoto.

Halafu sasa mizinga yake midogoo.. nikimpa laki ananiona wa maana kwelii.. kumbe hiyo laki ukitoka na sister duu kwenda kiwanja tu inakatika masaa tu

Wekend vijana wenzangu jobs wanaenda viwanja samak samak ama elements . Muhuni najifungua na mzaramo wangu mpaka j2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
 
Back
Top Bottom