cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman lolKweli sio MALAYA ndio maana mlishindwa kufungua code!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman lolKweli sio MALAYA ndio maana mlishindwa kufungua code!!
Taarifa yao ya ugunduzi haijitoshelezi, nilidhani wewe umewaelewa vyema hasa kuhusu jibu la swali linaloulizwa na wengiuna uelewa kiasi gani mpaka usijue kama polisi wanafanya upelelezi?
Hahaaa baharia Latisha Sana!baharia wa kihaya
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzaramo mchezo? Ukute amempa limbwata la kisasa, hachomoki kamweeeee.Maskini atakuwa karogwa kwisha kazi!
Lakini anadai ni marafiki wa takriban miaka 10,
Mkewe asijali sana huenda Kwa tukio hili ikawa ndio mwisho wa mahusiano wa mume wake na huo mchepuko.
Lakini kuna kazi ya ziada ya kufanya mke na ndugu wa Muta ya kufanya kumuachanisha na huo mchepuko la sivyo siyo rahisi.
Huruma nyie jamani Mwanaume wa watu!
Hata akili alonayo itakuwa sio yake nakwambia!
Walioko karibu naye watakapomuuliza maswali utakuta anajibu upumbavu upumbavu tu !
Hapo ndo ninapoona miujiza mama yake alishindwa kumuombea mwanawe aache pombe.Wanadamu wakitaka kukuchafua hakuna namna waweza kuwakwepa. Mutta ni chapombe miaka yote tangu mama yake yupo hai.
Hii ni picha tu kama la mkono wa baunsa ya Mch Gwajima.
Ni malegend tu,tena wale wabobevu ndio tunachomoka salama mbele ya majini kama haya,la sivyo huchomoi,unaweza kujitangazia umauti kabisa ili ndugu wasihangaike kukusaka.😂[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaah
Bora umegundua Hilo bongo aondki mtu,Mara sarakasi bungeni leo Tena Ashura kampoteza muheshimiwa(mh)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nchi sihami haki ya nani! Yaani hata uwe na stress vipi, ghafla tu unakuta zimeisha.
Mtoto wa marehemu mtumishi amejidhalilisha
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzaramo mchezo? Ukute amempa limbwata la kisasa, hachomoki kamweeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]
Jibu la swali lako analo bishop Gwaji boyKama ni mlevi hivyo ilikuwaje wananchi wa Kawe wakamchagua kuwa diwani wao?!
Au ndo yale mambo ya kura za kupewa mezani!
Ila jamaa alifaidi sana hizo steki...Zigo la kuvunja chaga
USSR View attachment 2237076View attachment 2237077View attachment 2237078View attachment 2237079
Sasa nawee una u legend gan,? Hebu huko tena wee ndo ungefia kwenye mpododo huo. Umeona traaaaakoooo hilo? La kuombea mkopo IMFNi malegend tu,tena wale wabobevu ndio tunachomoka salama mbele ya majini kama haya,la sivyo huchomoi,unaweza kujitangazia umauti kabisa ili ndugu wasihangaike kukusaka.[emoji23]
Umejuaje Ashura ni malaya? Nyie takataka za mwendazake ni hovyo sana.Asante Mrangi kwa kazi nzuri ambayo kama bila wewe Jeshi la polisi kuanzia RPC na mkuu wa Jeshi la polisi wangechafuka kuwa huyo diwani katekwa na wasiojulikana kumbe yuko kwenye kifua cha malaya analia nipe nipe kingine nasikia nyege
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.
Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.
View attachment 2236722
Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie Ashura ana balaa mjini, eti rafiki wa miaka 10, mkewe anaujua urafiki wao?Wala si uongo @ Mwanakwetu!
Yani hapo waache kazi wafanye kazi ya kumnasua huyo jamaa wasije wakampoteza mazima!
Unataka kumjengea sanamu? 🤣🤣Picha ya Ashura tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.Usicheke nishawai kukutana nae mmoja. Aliniteka kweli kweli.
Nilikuwa napata pata hela kizembe kazini nikawa napenda sana kununua viwanja vya bei nafuu.
Sasa yeye mzaramo mwenyej wa dar ndie akawa ananishtua akiona kiwanja cha bei nafuu kama dalali vile,,, maana huko chamazi, mbande, chanika, kitunda , kivule kote ana ndugu zake.
Kama utani nikajikuta nimemnunulia na yeye kimoja.
Usiombe ukutane na hawa mabinti waliocheza unyagoo.. binti mdogoo ila jitu zima na ndevu zako unadekezwaa kama mtoto.
Halafu sasa mizinga yake midogoo.. nikimpa laki ananiona wa maana kwelii.. kumbe hiyo laki ukitoka na sister duu kwenda kiwanja tu inakatika masaa tu
Wekend vijana wenzangu jobs wanaenda viwanja samak samak ama elements . Muhuni najifungua na mzaramo wangu mpaka j2