Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

View attachment 2236722

Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
Kama ni mlevi hivyo ilikuwaje wananchi wa Kawe wakamchagua kuwa diwani wao?!
Au ndo yale mambo ya kura za kupewa mezani!
 
Ila huyo Ashura naye ajifikirie Mara mbili,

Hivi kata imekaa miezi mitatu bila mwakilishi huku akiwa amemficha mheshimiwa Sana wao ndani.........!
 
Asante Mrangi kwa kazi nzuri ambayo kama bila wewe Jeshi la polisi kuanzia RPC na mkuu wa Jeshi la polisi wangechafuka kuwa huyo diwani katekwa na wasiojulikana kumbe yuko kwenye kifua cha malaya analia nipe nipe kingine nasikia nyege
 
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

View attachment 2236722

Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20220524-WA0005.jpg
IMG-20220524-WA0004.jpg
 
Umeona eeeh, Yani hili unalifungia, unaliogesha maji ya hiriki na vanilla, unalilisha....na kulipa yooooteee.
Mimi huyu polisi wasingemuona Leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie Ashura amefaidi wallah, sio kwa mutta huyu mweeeh, mbna angesepa nae mbali huko.
 
Hao ukijaribu kutoka kazi sana. Na hawana gharama za kwenda vacations sijui kidimbwi

Tatizo huchelewi kunogewa unajikuta unamnunulia kiwanja chanika huko unamjengea nyumba kama utani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]
 
Back
Top Bottom