Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Yaani ninavyowajua hawa watani zangu kwa mibebez, siamini kama wanaweza kutulizwa na mzaramu namna hii......
 
Polisi imewavunjia faragha zao diwani na Bi. Ashura.

Wangesema amepatikana tu na kuwaachia waandishi wa habari za udaku hayo mengine
Hapo ndio unajiuliza kulikuwa na ulazima gani wa kumwanika mambo yake.
Hawaheshimu privacy za watu kabisa.
Wamemuharibia kuanzia kwenye familia yake mpaka kwenye jamii.
 
Jamaa anakesi kama buku pale kawe kituo cha polisi na wanakula nae sahan moja


Na anapigia gambe pale triple 7
Kuna siku kalewa akagonga ule ukuta wa club laroca pale kawe ukwamani
Nina mashaka na hizi Tuhuma Zako kama ni za Kweli, haiwezekani Mtu ana tuhuma zaidi ya Elfu Moja na zinajulikana alafu mnamuacha aendelee kuwa Diwani wenu, basi nyinyi ndio wapuuzi na hamna akili.
 
Hapo ndio unajiuliza kulikuwa na ulazima gani wa kumwanika mambo yake.
Hawaheshimu privacy za watu kabisa.
Wamemuharibia kuanzia kwenye familia yake mpaka kwenye jamii.
Yaa, nafikiri hapa hawakufanya kazi kiweledi......wangesema tu amepatikana akiwa hana tatizo lolote, wakaacha mambo mengine waendelee nayo watu wa habari za udaku.
 
Mkuu....
Ebu naomba unipoteze maana nami ni diwani huku Lyambamigongo....[emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahi bas utanikuta hapa tabata Bima.
 
Yaani ninavyowajua hawa watani zangu kwa mibebez, siamini kama wanaweza kutulizwa na mzaramu namna hii......
Ashura unamjua vizuri lakn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes mke ninamuonea huruma. Halafu huyo Ashura Macheni wanasema alikuwa mke wa Hussein Macheni ambae ni marehemu. Inasemekana ana moto.
Sasa bosi wangu, unayemhurumia ni huyo mtu mzima ambaye ni kichwapanzi?

Nimesoma naye shule moja haya matukio ni sehemu ya maisha yake.

Mke wake aambiwe kuwa jamaa alienda kupeleka jando kwenye moto hivyo mbususu yake isiguswe bila zana
 
Sasa nawee una u legend gan,? Hebu huko tena wee ndo ungefia kwenye mpododo huo. Umeona traaaaakoooo hilo? La kuombea mkopo IMF
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂🤣
We mtoto weee.. acha nifunike kombe mie.
 
Ukweli ni pesa yake imekata... Mwanamke kaona amtimue tu....hadi hapo kibubu kikiwa sawa arejee aendelee kupewa mikito ya kizaramo.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787]
We mtoto weee.. acha nifunike kombe mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ashuraa atakusaula had pumbu, urudi kwenu na ngozi tyuuh inatetemeka.

Woiiiiiiiiiiiiiiih
 
Mkuu hujapita kweli hapo maana ndio pisi uzipendazo hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…