Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Maigizo hayataisha ndgu wamechez filamu nzur kweli...na Amer kwao iki waendelee kumpa matibabu
 
Daah yaani hawa watoto wa marehemu Mh. Dr Getrude Lwakatare ni mateso. Mirathi ni shida tupu karibu wanauana sasa. Yaani mama alikufa kabla hata ya arobaini walishaanza kuuza vitu. Kuna siku niliitiwa jumba la ghorofa huko Bunju kabla hata ya kuteua msimamizi wa mirathi. Kisa eti wanauza kuna madeni ya shule wanalipa. Tena ghorofa mil 250. Nikamwambia dalali yule hilo ni famba katafute wajinga uwapige. Na kweli ilikuwa sijui ni huyo diwani anauza maana nasikia alimtesa Sana mama yake. Aliuza Mali nyingi Sana za mama yake akiwa hai. Huenda ni laana pia.
 
Nipo njiani naelekea kwa Ashura kuchukua madesa, na mie nimteke mtoto wa mama mkwe, tena nae analewa ndo kabisaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona balaaa shos nahio mizagamuo usije ukampoteza Mtoto wawatu 😂🤣😂🤣 ?!
 
WANAWAKE WA KIISLAMU WAKO ROMANTIC SANA AISEEE.
JESHI MNGEKAA KIMYA KAMA MTU YUKO SALAMA KWA ASHURA.
 
WANAWAKE WA KIISLAMU WAKO ROMANTIC SANA AISEEE.
NANYI JESHI KAMA MTU YUKO MIKONONI SALAMA KWA ASHURA, MUNGE KAA KIMYA BANA

Hao ukijaribu kutoka kazi sana. Na hawana gharama za kwenda vacations sijui kidimbwi

Tatizo huchelewi kunogewa unajikuta unamnunulia kiwanja chanika huko unamjengea nyumba kama utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…