Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani na Ashura wameleta taharuki!
 
Akili mukichwa Abdul nondo aliambiwa alikwenda kwa dem wake Iringa, Mo nae alikutwa gymkhana baada ya kutafutwa sana, na Roma alipatikaneje alivyopotea. Nchi hii unaweza ukahifadhiwa na baadae ukapewa uzushi usio na maana kukuchafua.
 
Wanamchafua kwa sababu gani?

Akili mukichwa Abdul nondo aliambiwa alikwenda kwa dem wake Iringa, Mo nae alikutwa gymkhana baada ya kutafutwa sana, na Roma alipatikaneje alivyopotea. Nchi hii unaweza ukahifadhiwa na baadae ukapewa uzushi usio na maana kukuchafua.
 
Yes ni Mchungaji akirithi kazi ya mama yake Mchungaji Kiongozi Dr Getrude Rwakatare
Mama yake ndio alikuwa mchungaji Nafikiri Yeye baada ya mama yake kufariki alikuwa hapo kama msimamizi wa shughuli ya mama yake.Sidhani kama Yeye ni mchungaji.Ila Hilo kanisa ni la mama yake!
 
Wanagombania mali ya mama yao iliyopatikana kwa makusanyo ya sadaka?

Haziwatoshi kichwani hao wana.
 
Akili mukichwa Abdul nondo aliambiwa alikwenda kwa dem wake Iringa, Mo nae alikutwa gymkhana baada ya kutafutwa sana, na Roma alipatikaneje alivyopotea. Nchi hii unaweza ukahifadhiwa na baadae ukapewa uzushi usio na maana kukuchafua.
Hata kupatikana kwa Mo Dewji wa Simba bado ni kitendawili jinsi alivyo tekwa na kupatikana kwake.
Kikwete alituachia msemo kuwa Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…